Pablo
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,441
- 2,545
Eti kila mdada akija kutafuta mchumba utasikia anatangaza sifa za bwana amtakae. Awe mcha Mungu, sijui mrefu mara mfupi, mweupe au mweusi n.k, kinachoniuzi mimi kwenye umri tu. Utasikia awe 28 - 35 kha!
Hivi na sisi wenye umri 20-26 hamtaki tupate? Kwani humu JF ni kizazi cha 1980's tu? Hamujui kama hata 1990's tupoo. Muwe munapunguza masharti basi na wengine tupate jamani. Mtusaidie kwenye umri tu hayo mengine tutarekebishana mbele ya safari.
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.