Punguzeni masharti na sisi tupate wachumba

Punguzeni masharti na sisi tupate wachumba

Sijaona uki compalin kuwa wanataka mwenye digriii. Kwani wewe digrii unayo?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu . Nipo kazini now degree nimeiacha miaka 3 iliyopita

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Afadhari wahenga wanathaminiwa kwenye hii kada ya wachumba wanaotafutwa. Huko kwenye ajira, wahenga wanakimbiwa sana. Utasikia "the age limit must be not more than 40 years old"
 
Eti kila mdada akija kutafuta mchumba utasikia anatangaza sifa za bwana amtakae. Awe mcha Mungu, sijui mrefu mara mfupi, mweupe au mweusi n.k, kinachoniuzi mimi kwenye umri tu. Utasikia awe 28 - 35 kha!

Hivi na sisi wenye umri 20-26 hamtaki tupate? Kwani humu JF ni kizazi cha 1980's tu? Hamujui kama hata 1990's tupoo. Muwe munapunguza masharti basi na wengine tupate jamani. Mtusaidie kwenye umri tu hayo mengine tutarekebishana mbele ya safari.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
sahihi mkuu hahhahaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom