Usichekeee[emoji23][emoji23][emoji23]
28-35 atapewa kipaumbele[emoji23][emoji23][emoji23]Usichekeee
Nyie ndo mna sumbua sana
Huo ni unyanyasaji wa ki rika
Mku usifos uhenga..Eti kila mdada akija kutafuta mchumba utasikia anatangaza sifa za bwana amtakae. Awe mcha mungu, cjui mrefu mara mfupi, mweupe au mweusi n.k, kinachoniuzi mimi kwenye umri tu. Utasikia awe 28 - 35 kha! Hivi na sisi wenye umri 20-26 hamtaki tupate?? Kwani humu jf ni kizazi cha 1980's tu?? Hamujui kama hata 1990's tupoo. Muwe munapunguza masharti basi na wengine tupate jamani. Mtusaidie kwenye umri tu hayo mengine tutarekebishana mbele ya safari.
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Eti kila mdada akija kutafuta mchumba utasikia anatangaza sifa za bwana amtakae. Awe mcha mungu, cjui mrefu mara mfupi, mweupe au mweusi n.k, kinachoniuzi mimi kwenye umri tu. Utasikia awe 28 - 35 kha! Hivi na sisi wenye umri 20-26 hamtaki tupate?? Kwani humu jf ni kizazi cha 1980's tu?? Hamujui kama hata 1990's tupoo. Muwe munapunguza masharti basi na wengine tupate jamani. Mtusaidie kwenye umri tu hayo mengine tutarekebishana mbele ya safari.
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Tatzo syo pesa. Pesa ipo sema hawajajua tu.Lol.... tatizo umri wako unakua huna pesa ya kuwapa...
usijali ukifikia umri huo na ww watakupa tu. lol
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Hahahaháa.... Hata mimi zipo kidevuni pia.Dogo punguza povu dunia ya leo sisi ndio tunatafutwa haaasa
Mm na mvi zangu naitwa baby[emoji3]
Haya yasijishebedue humu vipo vittoto dogo langu ukiviangalia kifuani utafkiri endiketa za landrover 109 au ka limao
Wacha haya kifuani ka mfuko waplastik uliobebewa chips yai kisha ukatupwa[emoji3]