PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Hawa WANAWAKE na hivi vipodozi vyao vya kujichubua usoni tu
Dada mmoja Leo kapanda kwenye daladala kujichubua usoni kawa mweupee alafu mikono mieusi tii. Basi kuna muda aliingiza mkono mfukoni atoe simu yake watu wakapiga kelele we Dada unaibiwa simu yako mfukoni kumbe ni ule mkono wake mwenyewe haufanani na sura. [emoji13] [emoji13]