Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 319
lkn smtimes mnatuonea sana.kwann hamuwezi kuzuia hisia zenu jamani?najua ni ngum lkn wengine wanazidisha kutamani jamani,utasema wamekuwa kuku?mbn wanaume na nyie mnavaa nguo za matamanio sisi hatusemi?utakuta mkaka kavaa jinsi tena now daiz tite jeans,na top(body suit)yani kama ni kwenye daladala akiiniama tu mstari sijui ule wa nn uko nje,au mwengine anavaa jeans na boxer tena ukiiona tu ni chafu akiinama kidogo boxer nje,kwani boxer si ni nguo ya ndani pia?au mwingine kipensi kifupi,tuna hisia pia na sisi ni watu jamani.SAMAHANINI SI WANAUME WOTE KWA MLIOKWAZIKA AM SORE BUT I DARE TO SPEAK..............:A S-rap: