Punguzeni nguo za matamanio jamani

Punguzeni nguo za matamanio jamani

Ndoo maana wanaume sikuhizi hawaoi kama zamani.
Nguo za siku hizi zina-message so........... we need not to work hard anymore.....it is shameful if you think about it
 
hapa jamani nadhani uvaaji ni tooo subjective

how much is too naked? na how much kwamba mtu ataonekana amevaa decent?

Na kama wameumbwa kwa ajili yetu, how do you get attracted kwao na for that matter kuendeleza uzazi kama hujapata wazo la ku do ze nidiful? lol

umenifanya nijisie more woman......:A S kiss:......:hug:.........:kiss:
 
Back
Top Bottom