We hapo umeanzisha thread ya nani sasa?Watu wa Simba mtaacha lini kumjadili Chama? Au ndio tumaini pekee lililobaki huko kwenu? Ubora wake unafahamika. Sasa mnajadili nini? Naona mnakazana sana kuanzisha threads za kumsifia. Hadi kero. Jamani huyu mtu amecheza zaidi ya misimu miwili hapa nchini. Anafahamika vzr
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Unafikiria kawaida sanaWe hapo umeanzisha thread ya nani sasa?
Ndio muanzishe threads kila dakikaHeee kuna mtu anatajwa humu na wana Yanga zaidi ya Mayele? Kila mtu kwa sasa apambane na watu wake.
Hongera kwa ushindi wa Jana[emoji28][emoji28][emoji28]Heee kuna mtu anatajwa humu na wana Yanga zaidi ya Mayele? Kila mtu kwa sasa apambane na watu wake.
Kweli hongeraHongera kwa ushindi wa Jana[emoji28][emoji28][emoji28]
Kweli hawa Ngada FC,Sembe FC, Pusha FC wanasumbua sana, huyu mechi kubwa hawezi kutamba ni WA mechi ndogo kama ya jana.Watu wa Simba mtaacha lini kumjadili Chama? Au ndio tumaini pekee lililobaki huko kwenu? Ubora wake unafahamika. Sasa mnajadili nini? Naona mnakazana sana kuanzisha threads za kumsifia. Hadi kero. Jamani huyu mtu amecheza zaidi ya misimu miwili hapa nchini. Anafahamika vzr
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Tuwe na kumbukumbuKweli hawa Ngada FC,Sembe FC, Pusha FC wanasumbua sana, huyu mechi kubwa hawezi kutamba ni WA mechi ndogo kama ya jana.
Mbona kama na wewe ni unakula madawa ya kulevya?Kweli hawa Ngada FC,Sembe FC, Pusha FC wanasumbua sana, huyu mechi kubwa hawezi kutamba ni WA mechi ndogo kama ya jana.
Nasikia jana mlipiga bomu mochwari ndugu mtani, mkaua maiti nne!Heee kuna mtu anatajwa humu na wana Yanga zaidi ya Mayele? Kila mtu kwa sasa apambane na watu wake.
Chama vs nkanaKweli hawa Ngada FC,Sembe FC, Pusha FC wanasumbua sana, huyu mechi kubwa hawezi kutamba ni WA mechi ndogo kama ya jana.
Mbona wewe tulikupakua bao 4 ulikuw mochwari?Nasikia jana mlipiga bomu mochwari ndugu mtani, mkaua maiti nne!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nakumbuka mechi sita zote zilizopita nimekupakua mimi, kwa ulizonusurika ulikimbilia polisi.Mbona wewe tulikupakua bao 4 ulikuw mochwari?
Kile kopigo cha bao nne pale kwa mkapa robo fainali la azam bado kinakuchanganya kaa kwa kulia nyani fcNakumbuka mechi sita zote zilizopita nimekupakua mimi, kwa ulizonusurika ulikimbilia polisi.
Hizo nne unaongelea za mwaka upi? Au unafikiri na mimi ni shabiki wa Ruvu shooting?
Tuliwanywesha ngada badala ya kuwalambisha hahaaaaa wakawa mlenda.Nasikia jana mlipiga bomu mochwari ndugu mtani, mkaua maiti nne!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]