Punguzeni threads juu ya Chama

Punguzeni threads juu ya Chama

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Watu wa Simba mtaacha lini kumjadili Chama? Au ndio tumaini pekee lililobaki huko kwenu? Ubora wake unafahamika. Sasa mnajadili nini? Naona mnakazana sana kuanzisha threads za kumsifia. Hadi kero. Jamani huyu mtu amecheza zaidi ya misimu miwili hapa nchini. Anafahamika vzr

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
We hapo umeanzisha thread ya nani sasa?
 
Heee kuna mtu anatajwa humu na wana Yanga zaidi ya Mayele? Kila mtu kwa sasa apambane na watu wake.
 
Watu wa Simba mtaacha lini kumjadili Chama? Au ndio tumaini pekee lililobaki huko kwenu? Ubora wake unafahamika. Sasa mnajadili nini? Naona mnakazana sana kuanzisha threads za kumsifia. Hadi kero. Jamani huyu mtu amecheza zaidi ya misimu miwili hapa nchini. Anafahamika vzr

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Kweli hawa Ngada FC,Sembe FC, Pusha FC wanasumbua sana, huyu mechi kubwa hawezi kutamba ni WA mechi ndogo kama ya jana.
 
Tuwe na kumbukumbu
FB_IMG_1668926385910.jpg
 
Wewe hapo unamuwaza hadi unamfungulia thread, pole sana. Huyo ndio tripo c. Nabado utaendelea kumuongelea hadi kufa kwako.
 
Heee kuna mtu anatajwa humu na wana Yanga zaidi ya Mayele? Kila mtu kwa sasa apambane na watu wake.
Nasikia jana mlipiga bomu mochwari ndugu mtani, mkaua maiti nne!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kweli hawa Ngada FC,Sembe FC, Pusha FC wanasumbua sana, huyu mechi kubwa hawezi kutamba ni WA mechi ndogo kama ya jana.
Chama vs nkana
Chama vs kaizer chief unataka kusemaje we kab.wl
 
Mbona wewe tulikupakua bao 4 ulikuw mochwari?
Nakumbuka mechi sita zote zilizopita nimekupakua mimi, kwa ulizonusurika ulikimbilia polisi.

Hizo nne unaongelea za mwaka upi? Au unafikiri na mimi ni shabiki wa Ruvu shooting?
 
Kile kopigo cha bao nne pale kwa mkapa robo fainali la azam bado kinakuchanganya kaa kwa kulia nyani fc
 
Back
Top Bottom