Punguzeni uchawa

Punguzeni uchawa

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellw africa

Siku hizi JF kila mtu ana chawa wake wengine mnaboa sana yaana uchawa promax kiasi kwamba unashindwa jishikilia shobo mda mwingine sio mzuri ndugu zangu. Punguzeni uchawa; yaani uchawa mpaka mtu unaemfanyia uchawa anachukia anakuona mswahili ana amua aku ignore kidogo.
 
Hellw africa

Sikuiz jf kila mtu anachawa wake wengine mnaboa sana yaana uchawa promax kias kwamba unashindwa jishikilia shobo mda mwingine sio mzuri ndugu zangu punguzeni uchawa yaani uchawa mpaka mtu unae mfanyia uchawa anachukia anakuona mswahili ana amua aku ignore kidogo
Ungewatag hao machawa tuwajue
 
Hellw africa

Siku hizi JF kila mtu ana chawa wake wengine mnaboa sana yaana uchawa promax kiasi kwamba unashindwa jishikilia shobo mda mwingine sio mzuri ndugu zangu. Punguzeni uchawa; yaani uchawa mpaka mtu unaemfanyia uchawa anachukia anakuona mswahili ana amua aku ignore kidogo.
Aahaaaaa

Miye ni chawa wa Mpwayungu Village
 
Back
Top Bottom