Punguzeni uchawa

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellw africa

Siku hizi JF kila mtu ana chawa wake wengine mnaboa sana yaana uchawa promax kiasi kwamba unashindwa jishikilia shobo mda mwingine sio mzuri ndugu zangu. Punguzeni uchawa; yaani uchawa mpaka mtu unaemfanyia uchawa anachukia anakuona mswahili ana amua aku ignore kidogo.
 
Ungewatag hao machawa tuwajue
 
Aahaaaaa

Miye ni chawa wa Mpwayungu Village
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…