Mwangazainvestment
New Member
- Dec 12, 2012
- 1
- 0
Kwa mdau uliyepo Dar es salaam, Mwangaza Investment ni stationary iliyopo maeneo ya Mwenge. Tunasupply reams maofisini na pia kwa watu binafsi.
Ninauza reams zenye gram 80 kwa:
TZS 7500/ream kwa mtu anayechukua reams kuanzia 5 hadi 10.
TZS 7200/ream kwa mtu anayechukua reams kati ya 10 na 20.
TZS 7000/ream kwa mtu anayechukua reams kuanzia 20 na kuendelea
Huduma hii utafikishiwa popote ulipo ilimradi uwe maeneo ya Dar es salaam.
Pia tunatoa photocopy (black & white), A4 paper size kwa TZS 30/page.
Kumbuka: Bei hizi zinaweza badilika kulingana na soko. Tunategemea bei za reams kutobalika mpaka mwisho wa mwezi huu wa December.
Tunawakaribisha wote. Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia 0712 154 842