Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

You sound as politician in ruling party CCM? You remind me one thing I once saw a politician ruling party walking a dog, and I thought, “How absurd—an animal walking an animal.” Then I thought, “If given the choice, I’d rather vote for the dog
Hakuna chama cha siasa kitakacholeta mabomba ya maziwa, ni janja tu ya kupandia kwny matatizo ya watu. Lets work hard
 
Wasioipenda ccm wengi hawapigi kura. Ni muda wa madabiliko sasa. Wafanyakazi wamedhihakiwa kwa kiasi kikubwa aisee..!!
 
Watu wengine hua mnaudhi kweli kwenye comments zenu, kwani nani aliyesema kwamba wafanyakazi hawataki kukatwa kodi? Uzi unasema ni dhihaka kupunguza only 1%, hivi ambacho wewe huajelewa ni nini hapo? Kweli walimu wanakazi ngumu, unajua kutumia computer lakini uzi rahisi kama huu bado huelewi! Watu wengine hua wapo kwa bahati mbaya tu, sorry to say that.

You dont need to be sorry, ndio ukweli huo, eti anatuambia serikali zote hutoza kodi, kwani kuna mtu asiyejua kuhusu hilo!
 
At least tungeona hizo kodi zikifanya kazi. Mi nalipa PAYE ya zaidi ya sh laki 6 kila mwezi. But km 12 za barabara kwenda ninapoishi ni mbovu mbovu, nalazimika kutumia wastani wa sh 50 kwa mwez kukarabati kausafiri kangu (ka kuendea kazini), ninapokaa hamna maji, nalazimika kutumia wastani wa sh laki 3 kila mwezi kununua maji, shule ya umma haina ubora, nalazimika kulipa zaidi ya milioni 2 kila mwaka kwa mwanangu asome shule ya private. Umeme unakatika, nalazimika kutumia sio chini ya elfu 50 kila mwezi kununua mafuta ya taa, mkaa na dizeli.
List ni ndefu but ujumbe ni kuwa hizi kodi zikifanya kazi yake sawa sawa itapunguza sana makali ya kiwango cha PAYE
 
Asiyeelewa basi tena!!!!!
 
Huyu mtu alimaanisha nini wakati wa mei mosi? Ama kweli ukigeu geu ni tabia!
 
Chapeni kazi acheni kulia lia, kuna vyama vingi sana vya upinzani viliingia madarakan katika bara la Afrika ukianzia, kenya, burundi, zambia, nigeria, algeria,ghana,n.k lakin maisha ni yale yale , hiko chama chenu kina kitu gan so special kias kwamba kikiingia kitatofautiana na vyama vingine vilivowah kushika dola. Punguzen kulalamika pigen mzigo mbona wengi tu tumeyatoa maisha ndan ya tawala hii hii, mzee ndesa, mbowe na kina mtei mbona wamefanikiwa chin ya sera hizi hizi za CCM!
...Kweli mkuu tuache kulalamika. Hebu ona Ridhiwani alivotoka fasta baada ya kuanza "biashara" mzee alipoingia ikulu. Angalia Chenge alivotoka baada ya kutununulia RADA ya kutuangalizia ndege mbinguni. Na sasa kuna ESCROW - hapo jamaa wasipotoka tutashangaa!
 
kwa nini wanifanyie dhihaka?
1%? Kweli?
Watoze PAYE sawa sikatai, lakini mbona sioni dhati yoyote ya kupunguza mfumuko wa bei ili niyamudu maishi? Unadhani mfumuko wa bei ungedhibiwa ningelalamika kuwa PAYE ipunguzwe?

Mwaka mwingine, Bajeti nyingine DHIHAKA imeendelea kumea, Misamaha ya kodi imeendelea kutolewa kwa WAWEKEZAJI! Maisha yanazidi kuwa magumu; mfumuko wa bei juu, inflation juu, shilingi inaporomoka thamani like never before... Umasikini unatamalaki, watu wanakata tama ya maisha!!! LAKUSHANGAZA!!! Kila mtu anajua kuwa tatizo liko wapi lakini hakuna wa kuchukua hatua! Wenye dhamana wamegeuka irresponsible chicken wanaishia kula mayai yao badala ya kuyatamia!!! Iliyo baki tumrejee mola wetu, tumuombe kwa dhaati atasaidie na kutuongoza salama kwenye maamuzi yetu wakati wa uchaguzi 2015.. "kun faya kun"
 
Tatizo la wafanyakazi wa nchi hii CHANZO CHA MADHIRA yao wanayafahamu vizuri kabisa. Lakini wafanyakazi hao hao ni waoga wa kuukabiri huo ukweli. Wakulima wa nchi hii ambao majority ni semi illiterate nawapa benefit of the doubt kwamba hawafahamu CHANZO CHA MADHIRA YAO. Lakini wafanyakazi no way, tatizo liko miongoni mwao.
 
Lakini bado mnaendelea kuiweka ccm madarakani. Nina hakika ccm ikiondoka chama cha upinzani kikijipanga vizuri kuhusu mapato ya kodi na kuziba wizi wa watumishi TRA kwa kuifumua na kuisuka upya pia kuindioa kabisa misamaha ya kodi ya kijinga na kuongeza wigo wa kodi kwa kuhangaika na wakwepa kodi hali ya mapato itakuwa nzuri sana. Hii itapelekea PAYE kupungua sana. Shame on you CCM.
 
At least tungeona hizo kodi zikifanya kazi. Mi nalipa PAYE ya zaidi ya sh laki 6 kila mwezi. But km 12 za barabara kwenda ninapoishi ni mbovu mbovu, nalazimika kutumia wastani wa sh 50 kwa mwez kukarabati kausafiri kangu (ka kuendea kazini), ninapokaa hamna maji, nalazimika kutumia wastani wa sh laki 3 kila mwezi kununua maji, shule ya umma haina ubora, nalazimika kulipa zaidi ya milioni 2 kila mwaka kwa mwanangu asome shule ya private. Umeme unakatika, nalazimika kutumia sio chini ya elfu 50 kila mwezi kununua mafuta ya taa, mkaa na dizeli.
List ni ndefu but ujumbe ni kuwa hizi kodi zikifanya kazi yake sawa sawa itapunguza sana makali ya kiwango cha PAYE

Mkuu asiyekuelewa basi , Hakuna sababu mawaziri na baadhi ya viongozi wa serekali kutibiwa nje ya nchi kwa kodi zetu. Wangeboresha hospital zetu wote tupate tiba bora. Haiwezekani mlipa kodi apate tiba mbovu then waziri ambaye hakatwi PAYE apate tiba bora Kwa kodi ya mlalahoi. Vivyo hivyo kwenye u pande wa elimu n:k. Viwanda vyetu vingi vimekufa Kwa sababu ya uongozi wa kifisadi wa mccm. Jiulize tuu sekta ya madini inachangia kiasi gani kwenye budget.! Dawa ondoa mccm 2015
 
....inawezekana hakuwasiliana na wataalamu wake kabla ya kutoa tamko
 
Mkuu asiyekuelewa basi , Hakuna sababu mawaziri na baadhi ya viongozi wa serekali kutibiwa nje ya nchi kwa kodi zetu. Wangeboresha hospital zetu wote tupate tiba bora. Haiwezekani mlipa kodi apate tiba mbovu then waziri ambaye hakatwi PAYE apate tiba bora Kwa kodi ya mlalahoi. Vivyo hivyo kwenye u pande wa elimu n:k. Viwanda vyetu vingi vimekufa Kwa sababu ya uongozi wa kifisadi wa mccm. Jiulize tuu sekta ya madini inachangia kiasi gani kwenye budget.! Dawa ondoa mccm 2015

Mamia kama sio maelfu ya viongozi na watendaji waandamizi wa serikali, familia au jamaa zao wanamiliki akaunti na mali za mabilioni ndani but zaidi nje ya nchi. Hayo ndiyo tunayolipia PAYE?
 
Kama kwa mwaka wanapunguza 1% kwhyo mpaka bajeti ya 2018/2019 ndio itafikia single digit 9% endelea kufanya kazi tu kupata nafuu ya (1900 x 4=7600)
 
The Income Tax Act 2004 Cap 332 (i) Reduce individual income tax rate from 14% to 13% for employees
RESIDENT INDIVIDUAL INCOME TAX RATES WITH EFFECT FROM 1/7/2013
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 35"]
SN
[/TD]
[TD="width: 344"] MONTHLY TAXABLE INCOME
[/TD]
[TD="width: 264"]
TAX RATE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 35"]
1
[/TD]
[TD="width: 344"] Where income does not exceed Tshs. 170,000/=
[/TD]
[TD="width: 264"] NIL
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 35"]
2
[/TD]
[TD="width: 344"] Where total income exceeds Tshs. 170,000/= but does not exceed Tshs. 360,000/=
[/TD]
[TD="width: 264"] 13% of the amount in excess of Tshs. 170,000/=

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 35"]
3
[/TD]
[TD="width: 344"] Where total income exceeds Tshs. 360,000/= but does not exceed Tshs. 540,000/=
[/TD]
[TD="width: 264"] Tshs. 24,700/= plus 20% of the amount in excess of Tshs 360,000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 35"]
4
[/TD]
[TD="width: 344"] Where total income exceeds Tshs. 540,000/= but does not exceed Tshs. 720,000/=
[/TD]
[TD="width: 264"] Tshs. 60,700/= plus 25% of the amount in excess of Tshs 540,000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 35"]
5
[/TD]
[TD="width: 344"] Where total income exceeds Tshs. 720,000/=
[/TD]
[TD="width: 264"] Tshs. 105,700/=plus 30% of the amount in excess of Tshs 720 ,000/=
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa maana hiyo mwaka huu 2014/2015 itakuwa 12% kwa kiwango cha mwanzo for an amount in excess of Tshs 170,000 tofauti na tpaul alivyo sema hapo juu. Cha mhimu ambacho TUCTA wanatakiwa kuelewa/ hawajui ni kuwa tatzo si rates tu (1% up 30% or what), tatzo ni rates na categories/groups za range of Income level (ziko chache na haziko wide spread off). Nafahamu kabisa kuwa TRA wanalijua hili ila wamepuuzia tu kwasababu PAYE ni kodi rahisi sana kwao kukusanya kuliko kodi za Majengo, minada, Mauzo ya ardhi (Nyumba), nk ila wanapenda CHEAP OR EASY THINGS AT THE EXPENSE OF OTHERS. Kinacho paswa ni kuwa na group na 6 up 10 mf. Group 6: Tshs 0.8 up 1M; tax Tshs 25,000 plus 20% of an amount in excess of Tsh 0.8M [Tshs 25,000 + (ie. 0.2*200,000)]=Tshs 45,000, Group 7, 8, 9, nk.

Tujiulize mfano mtu anae pokea mshahara wa Tshs 6,945,750/= kwa kodi ya sasa . Anapaswa kulipa Tshs ngapi kama kodi?
Chukua category ya 5, kama ilivyo kwenye jedwali hapo juu (Make ndio group anapo paswa kuwa)
Tshs 105,700/= + 30% of the amount in excess of Tshs 720,000/=
Hivyo tofauti ni Tshs 6,945,750 - 720,000 = Tshs6,225,750.
Tax = Tshs 105,700 + [30%*6,225,750]
= Tshs 105,700 + 1,867,725
= Tshs 1,973,425/= (as tax)
Total amount to be received as Income = Tshs 6,945,750 -,1973,425 = Tshs 4,972,325/=

This (Tshs 1,973,425) is alot of money to be taxed on Resident Individual's personal Income, where there in no Administration/collection costs incurred by TRA (as orgnisations are supposed to remit this amount to TRA's offices within 30 days).
Huyu mtu bado analipa kodi ya VAT when he/she purchases sugar, clothes, car, fridges, TV set, etc to mention a few.

The emphasis should be on having lower tax rates with a range of categories/groups to be spread to the Individuals' Income groups. This is because individual persons DO HAVE allowable expenses at their family level as Parastatals and Companies DO but individual persons are NOT allowed to deduct them as allowable expenses in their salaries.

KWA MFANYAKAZI AMBAE HUJUI KODI ANAYO LIPA, UNAWEZA TUMIA JEDWALI HILO HAPO KUJUU, KUFAHAMU KODI UNAYOLIPA. ILA CHANGE YA 1% (i.e. 12%) HAS INSIGINFICANT/IRRELEVANT CHANGE IN THE TAXABLE INCOME OF AN INDIVIDUAL.

hatari sana. kwa kifupi, mwenye mşhahara wa tshs 700,000 anamzidi kwa mbali sana mwenye mshahara wa tshs 750,000 kwa take home, kisa kodi!!!
 
Back
Top Bottom