Punyeto au kujichua na madhara kiroho

Punyeto au kujichua na madhara kiroho

Siku huko kwa Wanawake zako ukipata Ukimwi ama Homa ya Ini, Gono na shoga zao wengine ndo utagundua kuwa sio kila bahati ni mpango wa Mungu ama kukataliwa ni roho ya kishetani..
Piga Punyeto ila uwe na Mipango kabambe na uisimamie then tuletee mrejesho after 2 years
Huna laana Mkuu, you just need new plans
 
Siku huko kwa Wanawake zako ukipata Ukimwi ama Homa ya Ini, Gono na shoga zao wengine ndo utagundua kuwa sio kila bahati ni mpango wa Mungu ama kukataliwa ni roho ya kishetani..
Piga Punyeto ila uwe na Mipango kabambe na uisimamie then tuletee mrejesho after 2 years
Huna laana Mkuu, you just need new plans
Watu mmepinda sana 🤣🤣
 
Hello jamiiforum.
Hope mko salama

Happy birthday to me ,

Nimezaliwa tarehe 2
Mwezi wa pili
Miaka mingi iliyopita.

Hivyo ni kumbukizi nzuri kwangu

Leo tuone madhara ya punyeto kiroho si kimwili, ipo hivi punyeto au kujichua ni hali ya kujisisimua kwa kuvuta picha ya mtu fulani anatevutia na kufikia mshindo au kutoa manii,mithili ya mtu aliyejamiiaana na mtu.

Yapo madhara mengi kimwili japo hakuna anayethibitisha , kama

a) kushindwa kumridhisha mwezi wako.

b) uume kutosimama imara

c)kushindwa kukaa muda mrefu kwenye tendo.

d)Kuwa msahaulifu yaani unajikuta ,kila mara ni mtu wa kurudia makosa au kutokuwa na kumbukumbu yeyote

e)kupunguza uwezo wa kufikiri ,
Unajikuta si mtu mwenye mipango ya mbali badala yake jamii inakuchukulia kama mtu aliyechanganyikiwa kumbe ni uraibu wa punyeto.

Haya ni moja ya madhara kadhaa ya kimwili japo wengi wao bado wanabisha Kwamba hakuna madhara na kuendekeza huo mchezo mbaya.

Lakini kama hawaamini madhara ya kimwili,je,wataamini madhara ya kiroho?

Watu wengi tunaangamia Kwa kukosa maarifa,hebu tuangalie madhara ya kiroho,

1.Kupoteza ushawishi na imani.

Yaani unaweza kujikuta watu wanakudharau au kukuchukulia poa kwasababu zisizoeleweka.

2.kupoteza bahati.

Neno bahati ni mpango unaokutana na utayari,baadi haiandaliwi kukutana nayo,bali angle uliyokaa na kujishughulisha nayo,unaweza kukutana na bahati .lakini ukiwa mtu wa punyeto ni dhahiri unaweza kujikuta hupati ngekewa yeyote.

4.kupata mikosi

Unaweza kuta unapata kazi ,kibarua au kufungua kijibiashara chako lakini ghafla mambo yanakuwa tofauti,unajikuta unazalisha madeni badala ya kuongeza kipato chako, kufukuzwa kazi n.k lakini ugomvi na kuchukiwa na watu tofauti tofauti.
Zinaa ni mbaya na chukizo mbele za Mungu,lakini punyeto ni chukizo zaidi.

5.Kukata tamaa.

Kujikuta mtu wa kuahirisha mambo na kujikuta unaridhika mapema,yaani unajikuta ukiwa na buku kumi wewe huwazi kutafuta nyingine,badala yake unasubiri iishe ndipo utafute nyingine,hili ni tatizo

Mungu alikuwa na makusudi kumuumba mwanamke,ili shida zako umalizie hapo,na kumbuka hapo hapo kuna madhara ya kufanya ngono kila siku,madhara ikiwa ni pamoja na kushuka Kwa Raha ya tendo.

Raha ya tendo ni ulipate kiugumu kidogo hata msisimko wa mwili huongezeka ,hebu fikiria ulishawahi kumfukuzua mwanamke Kwa muda kidogo akawa anakutolea nje,

Halafu siku akakukubalia,hakika utaichapa na kuenjoy kuliko,kumtongoza mwanamke Leo halafu muda huohuo mnaenda lodge hapo hata Raha tendo hakuna,ilani kapunguza uzito tu.

Hata mkeo ndani huwa anaweza kukunyima, hayupo period,haumwi,hajachoka Ila unanyimwa tu ile ni nature ,kuwa ile kitu haipatikani kirahisi,ni vile tu Dunia imejaa ushenzi kwa watu kuuza miili yao.

Mtu wa punyeto hana kunyimwa, muda na saa yeyote anatimiza wajibu wake kwani hana cha kumzuia mbaya sana hii.

Punyeto ni zaidi ya madawa ya kulevya Acha mara moja
sasa hio picha ya kazi gani
 
Watu mmepinda sana 🤣🤣

Tuambiane tu ukweli, punyeto inachosha mwili na kuleta ka uvivu kama ilivyo ngono. Hilo analifahamu vizuri sasa shida inakuja anataka kuingiza vitu ambavyo havihusiani kabisa… aache uvivu achape kazi kwa nguvu zote jioni ajipooze na kimoko chali ila asichanganye mafile, kama ni nyeto ni nyeto tu.. habari za kumridhisha mwanamke hazimhusu
 
Punyeto ina madhara? ndio ina madhara. Maji ya kunywa yana madhara, Panadol zina madhara, Ugali una madhara, Jack Daniel ina madhara, wali una madhara etc etc. KILA KITU KISIPOTUMIWA AU KUFANYWA KWA NJIA SAHIHI NA KIASI, KINA MADHARA.
 
Punyeto ina madhara? ndio ina madhara. Maji ya kunywa yana madhara, Panadol zina madhara, Ugali una madhara, Jack Daniel ina madhara, wali una madhara etc etc. KILA KITU KISIPOTUMIWA AU KUFANYWA KWA NJIA SAHIHI NA KIASI, KINA MADHARA.
Chaputa umetisha sana 🤣
 
Back
Top Bottom