Punyeto imenimaliza

Punyeto imenimaliza

Punyeto ina madhara makubwa sana. Achana na hawa watu wa mitandaoni watakupotosha ni suala la muda na wao watakuja kulia. Hiyo kutokujiamini ipo sana, sasa kuna spiritual effects hizo ni mbaya zaidi. Kuna demons wanajiattach kwako kila unapopiga, unapata negative energy, na unavyozidi kupiga unazidi kuzama. Una attract mikosi na bahati mbaya, utachukiwa bila sababu kwa kuangaliwa tu. Sababu kuna nuru unaikosa ukiwa unapiga sana punyeto. Weka dhamira, mshiriishe Mungu. Acha kabisa kuangalia porn au picha mbaya za instagram ,jiepushe kabisa. Weka malengo madogo kwanza. Mfano anza na siku 30. Ukifanikiwa jipongeze.

Punyeto itakuweka mbali na watu, utashindwa kuwa na mahusiano ya aina yoyote, ya kikazi, kijamii, kimapenzi. Utakuwa mtu wa hovyo.

Kwa kuwa punyeto inaleta 'instant' gratification, yani unapata raha haraka unapojiskia. Mwili unazoea hivyo na utakosa uwezo wa kuwa na subira na mipangilio katika maisha, utashindwa kusave pesa, kuvumilia mpenzi, utakuwa unareact very bad ,na decision making very poor. Mwisho utachomwa moto kwa imani zetu.
 
punyeto haina madhara....

utazamaji wa pono ndo unakuharibu

punyeto ni kitu cha kawaida kwa wanyama wote kundi la mammalia
Achana na uzungu wa kijinga. Ata ushoga wanasema hauna madhara, kubadili jinsia hakuna madhara, wewe amka. Punyeto ni danger. Porno na punyeto ni ndugu mmoja. Ndio maana inaitwa PMO . Porn, masturbation ,orgasm in that order.
 
Habar ndugu zangu nimepiga punyeto kwa mda mrefu Sana nilianza 2009 Kama utani ilipofka2013 ndio nikaaza kuona madhara makubwa mwili ukazofuu Sana alafu nkawa mzito kuelewa Yan nakua Kama zoba fulan mail masaa yote umechoka n nikawa napenda kulala tu Yan mpaka saiv Hali n mbaya Nina miaka 29 lakn nko Kama mzee wa miaka 70 Yan uwezo wa kujiamin kujichaganya na watu Sina nishakua mtu wa kushinda nyumban tu kwa wazazi nataman kuwa na mpenzi anisaidie kuacha lakn kwa bahati mbaya sio wa kukubali kua na Mimi inaniumiza Sana madhara makubwa niliyopata 1 nimewahi kuzeeka 2nishaharibu mishipa ya fahamu nimekua mtu wa kujitenga na jamiii Yan nko Kama mtu mwenye ugonjwa wa usoji najua umu Kuna watu tofaut tofaut Kama Kuna mtu ambae atakua tiar kunisaidia ata kwakunikutanisha na watalamu Mimi nipo tiar mateso nayopitia n makubwa Sana apa nilipo Sina uwezo wa kuongea na mtu nkaelewa Yan mishipa ya fahamu haiko vizur Kama imeleta tatzo adi kwenye usikivu wa masikio n hvo tu
Wewe utakuwa umelogwa punyeto haiko hovyo kíasi hicho....

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Tiar = tayari. Nahisi una tatizo zaidi. Kama una miaka 29 na bado unashinda nyumbani kwenu ni tatizo kubwa zaidi ya punyeto. Kwa uandishi wako inaonyesha shuleni ulienda kusomea ujinga kwahiyo tafuta kazi ambazo hata watu kama wewe unaweza pata ili uweze kuwa bize na kuacha huo upumbavu uliokutawala.
Nakazia
 
Habar ndugu zangu nimepiga punyeto kwa mda mrefu Sana nilianza 2009 Kama utani ilipofka2013 ndio nikaaza kuona madhara makubwa mwili ukazofuu Sana alafu nkawa mzito kuelewa Yan nakua Kama zoba fulan mail masaa yote umechoka n nikawa napenda kulala tu Yan mpaka saiv Hali n mbaya Nina miaka 29 lakn nko Kama mzee wa miaka 70 Yan uwezo wa kujiamin kujichaganya na watu Sina nishakua mtu wa kushinda nyumban tu kwa wazazi nataman kuwa na mpenzi anisaidie kuacha lakn kwa bahati mbaya sio wa kukubali kua na Mimi inaniumiza Sana madhara makubwa niliyopata 1 nimewahi kuzeeka 2nishaharibu mishipa ya fahamu nimekua mtu wa kujitenga na jamiii Yan nko Kama mtu mwenye ugonjwa wa usoji najua umu Kuna watu tofaut tofaut Kama Kuna mtu ambae atakua tiar kunisaidia ata kwakunikutanisha na watalamu Mimi nipo tiar mateso nayopitia n makubwa Sana apa nilipo Sina uwezo wa kuongea na mtu nkaelewa Yan mishipa ya fahamu haiko vizur Kama imeleta tatzo adi kwenye usikivu wa masikio n hvo tu
Hiyo 2009 mbona we upo karibu! Mi nilianza punyeto 2003 huko nimeacha mwaka jana mwezi wa 10! Niko strong kama kawiada! Labda kwakuwa nilikuwa nafanya kazi ngumu za kutoka jasho na pumzi ya kutosha! 4 Hrs Non stop kazi kazi na watoto nikipiga kama kawaida!
 
FB_IMG_1685035974194.jpg
 
Punyeto ina madhara makubwa sana. Achana na hawa watu wa mitandaoni watakupotosha ni suala la muda na wao watakuja kulia. Hiyo kutokujiamini ipo sana, sasa kuna spiritual effects hizo ni mbaya zaidi. Kuna demons wanajiattach kwako kila unapopiga, unapata negative energy, na unavyozidi kupiga unazidi kuzama. Una attract mikosi na bahati mbaya, utachukiwa bila sababu kwa kuangaliwa tu. Sababu kuna nuru unaikosa ukiwa unapiga sana punyeto. Weka dhamira, mshiriishe Mungu. Acha kabisa kuangalia porn au picha mbaya za instagram ,jiepushe kabisa. Weka malengo madogo kwanza. Mfano anza na siku 30. Ukifanikiwa jipongeze.

Punyeto itakuweka mbali na watu, utashindwa kuwa na mahusiano ya aina yoyote, ya kikazi, kijamii, kimapenzi. Utakuwa mtu wa hovyo.

Kwa kuwa punyeto inaleta 'instant' gratification, yani unapata raha haraka unapojiskia. Mwili unazoea hivyo na utakosa uwezo wa kuwa na subira na mipangilio katika maisha, utashindwa kusave pesa, kuvumilia mpenzi, utakuwa unareact very bad ,na decision making very poor. Mwisho utachomwa moto kwa imani zetu.
Madhara makuu ya punyeto ni uume kukosa nguvu unapokutana na mwanamke na kupoteza kumbukumbu. Hayo mengine ya hadi kushindwa ku-save pesa ni ya kwako binafsi. Walokole mnapitiliza kwa kuweka mambo ya kiroho kwenye kila kitu. Kuisingizia punyeto hadi kwenye ishu za pesa sio sawa.
 
Mimi sio mlokole acha kujifanya unajua sana, binadamu ni mwili na spiritual being. Masturbation inaathiri psychology ya mtu. Mtu aliezoea masturbation anazoea instant gratification. Anakosa SELF DISCIPLINE.
 
Back
Top Bottom