Punyeto imenimaliza

Punyeto ina madhara makubwa sana. Achana na hawa watu wa mitandaoni watakupotosha ni suala la muda na wao watakuja kulia. Hiyo kutokujiamini ipo sana, sasa kuna spiritual effects hizo ni mbaya zaidi. Kuna demons wanajiattach kwako kila unapopiga, unapata negative energy, na unavyozidi kupiga unazidi kuzama. Una attract mikosi na bahati mbaya, utachukiwa bila sababu kwa kuangaliwa tu. Sababu kuna nuru unaikosa ukiwa unapiga sana punyeto. Weka dhamira, mshiriishe Mungu. Acha kabisa kuangalia porn au picha mbaya za instagram ,jiepushe kabisa. Weka malengo madogo kwanza. Mfano anza na siku 30. Ukifanikiwa jipongeze.

Punyeto itakuweka mbali na watu, utashindwa kuwa na mahusiano ya aina yoyote, ya kikazi, kijamii, kimapenzi. Utakuwa mtu wa hovyo.

Kwa kuwa punyeto inaleta 'instant' gratification, yani unapata raha haraka unapojiskia. Mwili unazoea hivyo na utakosa uwezo wa kuwa na subira na mipangilio katika maisha, utashindwa kusave pesa, kuvumilia mpenzi, utakuwa unareact very bad ,na decision making very poor. Mwisho utachomwa moto kwa imani zetu.
 
punyeto haina madhara....

utazamaji wa pono ndo unakuharibu

punyeto ni kitu cha kawaida kwa wanyama wote kundi la mammalia
Achana na uzungu wa kijinga. Ata ushoga wanasema hauna madhara, kubadili jinsia hakuna madhara, wewe amka. Punyeto ni danger. Porno na punyeto ni ndugu mmoja. Ndio maana inaitwa PMO . Porn, masturbation ,orgasm in that order.
 
Wewe utakuwa umelogwa punyeto haiko hovyo kíasi hicho....

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Nakazia
 
Hiyo 2009 mbona we upo karibu! Mi nilianza punyeto 2003 huko nimeacha mwaka jana mwezi wa 10! Niko strong kama kawiada! Labda kwakuwa nilikuwa nafanya kazi ngumu za kutoka jasho na pumzi ya kutosha! 4 Hrs Non stop kazi kazi na watoto nikipiga kama kawaida!
 
Madhara makuu ya punyeto ni uume kukosa nguvu unapokutana na mwanamke na kupoteza kumbukumbu. Hayo mengine ya hadi kushindwa ku-save pesa ni ya kwako binafsi. Walokole mnapitiliza kwa kuweka mambo ya kiroho kwenye kila kitu. Kuisingizia punyeto hadi kwenye ishu za pesa sio sawa.
 
Mimi sio mlokole acha kujifanya unajua sana, binadamu ni mwili na spiritual being. Masturbation inaathiri psychology ya mtu. Mtu aliezoea masturbation anazoea instant gratification. Anakosa SELF DISCIPLINE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…