Punyeto imenimaliza

Mada za punyeto zimekuwa mingi!
Mi nimepiga zaidi ya miaka kumi sijapata madhara hayo na mzigo napiga kama Kawa
Pengine labda hauli vizuri alafu unapiga Kila mara huku labda una misongo
Kila kitu kina madhara kikizidi hata papuchi ukifululiza inakufyonza inakua kama kuku mwenye kideri

Acha kujifungia ndani, punguza nyeto,kula ushibe tafuta kazi ufanye
 
Kuna vitu umeandika hapa ni ukwel mtupu ...hasa hilo la kuchukiwa bila sababu..
 
Inategemea intensity yako, kuna watu wanapiga daily, sio chini ya mara 3.
Mkuu naweza pata ushaur wako nje na hapa. Maana Hali n mbaya Sana
PM yangu ipo free, if you really need help.
 
endelea kupotosha watu
Sipotoshi. Ni facts nakwambia. Masturbation imeharibu ata behavioural patterns za societies kabisa, unafahamu kwa nini Pakistan na India wanabaka sana kina mama alafu wanaongoza kuangalia porn? Think it's a coincidence!? Think again. Ukizoea instant gratification ata kutongoza ,kuwa na meaningful relationship ni ngumu. Huwezi ku interact kawaida na watu. Bro sipotoshi. Na hapa naandika tu kishkaji but nina NONDO kuhusu the bad about masturbation. Usidanganywe na western bs. Ata ushoga wenzio wanasema ni natural. Achana na hiyo laana itakumaliza one day.
 
Punyeto haina madhara kama ulivyoandika.
Hayo ni matatizo yako binafsi.
Nilianza master B 2002 till now , nina familia na nina nguvu za kiume nyingi. Naweza kupiga hata wanawake 2-3 kwa siku.
Nguvu za mwili zipo.
Wewe umeharibiwa na wachawi wa mitandaoni
 
instant gratification haisababishwi na masturbation tu mzee, dopamine overdose inaletwa na mambo mengi

nakuambia ulete ushahidi unajing'ata

afu punyeto ni kitu natural kwa mammals, hizi stereotypes pamoja na porn ndo zina haribu akili
 
Miaka 29 bado uko kwa wazazi jomba🤔

Hili ndilo tatizo kubwa kuliko hate hiyo punyeto yenyewe
 
instant gratification haisababishwi na masturbation tu mzee, dopamine overdose inaletwa na mambo mengi

nakuambia ulete ushahidi unajing'ata

afu punyeto ni kitu natural kwa mammals, hizi stereotypes pamoja na porn ndo zina haribu akili
Name anything inayofanya dopamine drive kuwa juu ukitoa drugs , hakuna inayozidi PMO. Hizi blah blah za natural, nyenyenye, wewe kumbuka ni mammal but your brain is wired differently. Elewa. Never advocate for this my friend. Amini kuna watu huwaelewi maisha yao yanayoenda, wana akili, wana kazi lakini wapo erratic huelewi kwanini wapo kama walivyo. Kumbe wana siri, wapo overwhelmed na masturbation sema ndo wanaanzaje kusema wakati ni tabia ya siri na ya aibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…