Punyeto inanitesa

Tafuta campany ushinde nayo muda wote ya kitu unachokipenda. kama umeanza 2011 ni muda mrefu mzee baba.
Hilo la kushinda na wadau nahisi lina nikosti sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sanaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kutokana na umri wako we piga tu ukikuwa utaacha, sidhani ukifika above 40 kama utakuwa na uwezo wa kupiga bao mbili kwa siku. Tafute mwanamke ambaye aneweza staili zote hizo zinazokuridhisha nadhani utakuwa umetatua tatizo, nadhani huridhiki kwa sababu hupati staili unazozipenda
 
nakuelewa sana mkuu,nlishawai patwa na shida ka yako toka nikiwa chuo na chanzo ilikua picha za x iyo ilikua 2012 nliendelea na icho kifungo mpaka 2017.nilipowekwa huru na mwenyezi Mungu kupitia ibada na kufunga.nlikua nafanya juudi za kuacha lakini aaa wapi, najikuta tena naurudia huo mchezo mpaka ikafika mahali nafsi yangu ikawa inaumia lakini Namshukuru Mungu kwa kunitoa katika gereza hilo. sasa ni takribani mwaka sijawai fanya huo mchezo sasa. Angalizo kwa wengine, Huu mchezo kuingia ni simple sana LAKINI kutoka ni ishu sana, for the first time kwa wiki nlikua napiga mara 2 au tatu ikafika mahala ikawa kila siku lazima nipige hiyo kitu hali ikawa mbaya zaidi nikawa napiga hata mara 2 kwa siku mpaka misuli ya uume ikawa inauma hata nikiwa sipigi pia hata nlipokuja kuoa sikuweza kuacha.Namshukuru sana Mungu kwa wingi wa rehema
 
MADHARA YA UPIGAJI PUNYETO
Haya ndio baadhi ya madhara ya kimwili ambayo yanaletekezwa na upigaji punyeto
1. PUNYETO INAUA NGUVU ZA KUFANYA TENDO LA NDOA AU KUFANYA MAPENZI:
Upigaji wa punyeto unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume au tendo la kufanya mapenzi, kwani kipindi unapiga punyeto jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa unafanya hivi kila siku ile mishipa inalegea na uume unakuwa unakosa nguvu hata ukisimama haui strong unakuwa kama umelegea.
2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO:
Mara nyingi mtu aliezoea kupiga punyeto huwahi kumaliza mapema pindi akiwa anafanya tendo la ndoa na wakati mwingine uume hushindwa kusimama kwa mara ya pili na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mwenzake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea kufanya tendo hilo.
Athari nyingine ni kama zifuatazo
3.Uchovu wakati wote / Fatigue. Feeling tired all the time.
4.Maumivu ya nyonga / Lower back pain.
5.Kusinyaa kwa Nywele / Nywele kunyonyoka / Thinning hair / Hair Loss
6.Maumivu ya kende
7.Maumivu ya kiuno
Hayo ni baadhi ya nukuu zangu!
Kuna faida nyingi sana ambazo utazipata endapo utaachana na tabia ya upigaji punyeto na hiyo napenda iwe sababu ya wewe msomaji kuachana hicho kitendo.
Kuacha punyeto ama mtindo flani wa maisha inahitaji utambuzi, uamue na pia uweze kjicontrol wewe mwenyewe, inahitaji nguvu ya ndani yako kushinda vishawishi , zifuatazo ni njia ambazo utaanza kutekeleza ukiwa nyumbani kwako bila gharama yoyote na zitaanza kukupa matunda, lazima uwe mwaminifu kufuata kile ninachoelekeza maaana ni njia ambayo imewasaidia vijana wengi.
TIBA HAKUNA DAWA ILA WEWE NDO DAWA......
1.PATA MDA MWINGI WA KUPUMZIKA
Baada ya shuguli za kawaida haikisha unapata mda wa kupumzika, lala mapema ili uweze kuipa akili mda wa kuchambua na kutunza taarifa za muhimu na kufuta zile ziszo za muhimu. Hakikisha unalala mapema hapo ndipo utaongeza uwezo wa akili kuweza kupambana na hisia na mawazo mabaya.
2. MATUMIZI YA MBOGAMBOGA NA MATUNDA KWA WINGI
Utafiti wa kisayansi unaonesha kwamba matumizi mazuri ya vyakula vya mbogamboga na matunda Husaidia kuongeza uwezo binafsi wa kujisimamia juu ya tamaa na mihemko mbalimbali, matumizi ya vyakula vilivyosindikwa (junk foods) ni chanzo cha kushindwa kujizuia na hapo safari yako ya kuachana na upigaji punyeto itakwama.
3. FANYA MAZOEZI NA USHUGULISHE MWILI
Maozezi yanasaidia mwili kutofikiria kufanya mambo machafu sababu mara nyingi unakuwa bize, akili inapokuwa inashugulishwa basi uwezekano wa kuleta fikra mbaya ni mdogo sana
4. ACHA KUANGALIA PICHA ZA NGONO AU KUWAZA NGONO
Tafiti zinasema kwamba vijana wengi wenye umri kuanzia miaka 15 mpaka 30 ndo kundi kubwa lililoathirika kwa kutazama picha za pono, piacha au video za ngono huleta msukumo kwenye akili ili kuweza kujiridhisha na hivo hupelekea watu kupiga punyeto ili kukata ile kiu ya tamaa zao za mwili.Pia makundi mabaya.
5.JISHUGHULISHE NA SHUGHULI ZA KIMAENDELEO AMBAZO ZITAKUONDOLEA MAWAZO YA KUFANYA MAPENZI
 
Dah punyeto mbaya sana mi nilipiga kwa muda wa miaka 13. Nilijaribu kuacha mara kadhaa mwaka wa 11 na 12 lakini nilijikuta nikishindwa kuacha hadi mwaka wa 13 nilipo aibika mbele ya mchumba wangu nilipiga kimoja cha kuku mnara ukalala mazima nilipata aibu sana maana nilikuwa nimejisifu ni kidume natembea dakika 45 kwenye game lakini siku hiyo nilitumia kama dakika 1 na sekunde 23 hivi. Hii ilinitokea kwasababu nilikuwa nimezoea kuwa*** mademu nikiwa nimevaa kondonomn sasa huyo mchumba wangu alikuwa anataka kitu manya kwa manya nilivyo chomeka tu kutoka na ule ulaini wa K nikaanza jisikia wazungu wanagonga mlango...

Kukwea mnazi hakufai japo kuna kusaidia kujiridhisha muda wowote unao utaka, haugharimiki sana, kutokupata ukimwi nakadhalika ila madhara yake kwenye ndoa na kisaikolojia ni makubwa kuliko wengi wanavyofikiria.


Puli mbaya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…