Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa sijui kama punyeto zitaachika.
kampe mautamu hadi aache nyeto
Tafuta campany ushinde nayo muda wote ya kitu unachokipenda. kama umeanza 2011 ni muda mrefu mzee baba.Yaani tabu tupu
Ukishinda nao wanakuambia ukapige?Hilo la kushinda na wadau nahisi lina nikosti sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sanaaaaaMimi ni muhanga wa nyeto toka mwaka 2011 non stop sasa imeanza kuniumiza na nashindwa kuiacha mwanamke namridhisha vilivyo ila napomaliza maumivu yamgongo, shingo na kichwa hunianza
NIKIAMKA VIZURI NAPIGA KWA SIKU HATA MARA 6 AU 7 NAJIZUIA KUSHIKA SIM AU KUTAZAMA VIPINDI VISIVYOFAA NIMESHINDWA
Kwa wiki naweza kuacha kupiga siku moja pekee au nikapiga wiki zote ndani yamwezi ninaumiasana.
Muda mwingine hata nikiwa na mwanamke tukimaliza mchezo akisinzia tu nashika sim napiga nyeto
MSAADA WAKUU
nakuelewa sana mkuu,nlishawai patwa na shida ka yako toka nikiwa chuo na chanzo ilikua picha za x iyo ilikua 2012 nliendelea na icho kifungo mpaka 2017.nilipowekwa huru na mwenyezi Mungu kupitia ibada na kufunga.nlikua nafanya juudi za kuacha lakini aaa wapi, najikuta tena naurudia huo mchezo mpaka ikafika mahali nafsi yangu ikawa inaumia lakini Namshukuru Mungu kwa kunitoa katika gereza hilo. sasa ni takribani mwaka sijawai fanya huo mchezo sasa. Angalizo kwa wengine, Huu mchezo kuingia ni simple sana LAKINI kutoka ni ishu sana, for the first time kwa wiki nlikua napiga mara 2 au tatu ikafika mahala ikawa kila siku lazima nipige hiyo kitu hali ikawa mbaya zaidi nikawa napiga hata mara 2 kwa siku mpaka misuli ya uume ikawa inauma hata nikiwa sipigi pia hata nlipokuja kuoa sikuweza kuacha.Namshukuru sana Mungu kwa wingi wa rehemaMimi ni muhanga wa nyeto toka mwaka 2011 non stop sasa imeanza kuniumiza na nashindwa kuiacha mwanamke namridhisha vilivyo ila napomaliza maumivu yamgongo, shingo na kichwa hunianza
NIKIAMKA VIZURI NAPIGA KWA SIKU HATA MARA 6 AU 7 NAJIZUIA KUSHIKA SIM AU KUTAZAMA VIPINDI VISIVYOFAA NIMESHINDWA
Kwa wiki naweza kuacha kupiga siku moja pekee au nikapiga wiki zote ndani yamwezi ninaumiasana.
Muda mwingine hata nikiwa na mwanamke tukimaliza mchezo akisinzia tu nashika sim napiga nyeto
MSAADA WAKUU