Punyeto inanitesa


Njia ya kuacha Punyeto ni kujinyonga. Nashauri ujinyonge na utakua umeacha nyeto.
 
Fanya yafuatayo:
1.Jiwekee ratiba ya kufanya mazoezi asubuhi na jioni hasa jogging na mpira wa Miguu (kama mnaweza kufanya jogging kama timu ni vizuri zaidi)
2.Mrudie Mungu, fanya kazi ya ziada kukuza inami yako.
3.Panga ratiba yako ya siku nzima kuanzia kuamka mpaka kulala (Hakikisha umebana masaa yote) na uiheshimu ratiba hiyo.
4.Acha kuangalia video na picha za ngono (x)
5.Kama unapenda kusoma vitabu usisomee ndani ukiwa peke yako..nenda Maktaba
6.Epuka kukaa peke yako muda mrefu
7.Fanya uamuzi binafsi toka moyoni wa kuacha punyeto (Ushauri hautasaidia kama usipoamua toka moyoni)
8.Anza kufanya juhudi za kuimarisha afya yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole broo fuatilia baadhi ya Uzi nilizoeka kupona upungufu na formula ya kupona ila najua we bado hujapata madhara unataka kuacha zipo njia unaweza acha kabisa na wala usiwe unafikiria sema na moyo wako kwanza kua unaacha than nitakuekea Uzi njia ya kuacha punyeto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu endelea kupiga, maana ukiacha utaua mke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujamsaidia mwezii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee mi nimechana kadi ya chama na kuachana na falsafa za chama
 
Jitahidi kufanya ibada Mara kwa Mara .

Hiyo kitu kuiacha huwa ni shughuri pevu ni zaidi ya madawa ya kulevya


Hapo tayari ushakua teja wa masterbation kutokana na Maelezo yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…