Punyeto inanitesa

Punyeto inanitesa

Mimi ni muhanga wa nyeto toka mwaka 2011 non stop sasa imeanza kuniumiza na nashindwa kuiacha mwanamke namridhisha vilivyo ila napomaliza maumivu yamgongo, shingo na kichwa hunianza
NIKIAMKA VIZURI NAPIGA KWA SIKU HATA MARA 6 AU 7 NAJIZUIA KUSHIKA SIM AU KUTAZAMA VIPINDI VISIVYOFAA NIMESHINDWA

Kwa wiki naweza kuacha kupiga siku moja pekee au nikapiga wiki zote ndani yamwezi ninaumiasana.
Muda mwingine hata nikiwa na mwanamke tukimaliza mchezo akisinzia tu nashika sim napiga nyeto

MSAADA WAKUU

Njia ya kuacha Punyeto ni kujinyonga. Nashauri ujinyonge na utakua umeacha nyeto.
 
Mimi ni muhanga wa nyeto toka mwaka 2011 non stop sasa imeanza kuniumiza na nashindwa kuiacha mwanamke namridhisha vilivyo ila napomaliza maumivu yamgongo, shingo na kichwa hunianza
NIKIAMKA VIZURI NAPIGA KWA SIKU HATA MARA 6 AU 7 NAJIZUIA KUSHIKA SIM AU KUTAZAMA VIPINDI VISIVYOFAA NIMESHINDWA

Kwa wiki naweza kuacha kupiga siku moja pekee au nikapiga wiki zote ndani yamwezi ninaumiasana.
Muda mwingine hata nikiwa na mwanamke tukimaliza mchezo akisinzia tu nashika sim napiga nyeto

MSAADA WAKUU
Fanya yafuatayo:
1.Jiwekee ratiba ya kufanya mazoezi asubuhi na jioni hasa jogging na mpira wa Miguu (kama mnaweza kufanya jogging kama timu ni vizuri zaidi)
2.Mrudie Mungu, fanya kazi ya ziada kukuza inami yako.
3.Panga ratiba yako ya siku nzima kuanzia kuamka mpaka kulala (Hakikisha umebana masaa yote) na uiheshimu ratiba hiyo.
4.Acha kuangalia video na picha za ngono (x)
5.Kama unapenda kusoma vitabu usisomee ndani ukiwa peke yako..nenda Maktaba
6.Epuka kukaa peke yako muda mrefu
7.Fanya uamuzi binafsi toka moyoni wa kuacha punyeto (Ushauri hautasaidia kama usipoamua toka moyoni)
8.Anza kufanya juhudi za kuimarisha afya yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole broo fuatilia baadhi ya Uzi nilizoeka kupona upungufu na formula ya kupona ila najua we bado hujapata madhara unataka kuacha zipo njia unaweza acha kabisa na wala usiwe unafikiria sema na moyo wako kwanza kua unaacha than nitakuekea Uzi njia ya kuacha punyeto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni muhanga wa nyeto toka mwaka 2011 non stop sasa imeanza kuniumiza na nashindwa kuiacha mwanamke namridhisha vilivyo ila napomaliza maumivu yamgongo, shingo na kichwa hunianza
NIKIAMKA VIZURI NAPIGA KWA SIKU HATA MARA 6 AU 7 NAJIZUIA KUSHIKA SIM AU KUTAZAMA VIPINDI VISIVYOFAA NIMESHINDWA

Kwa wiki naweza kuacha kupiga siku moja pekee au nikapiga wiki zote ndani yamwezi ninaumiasana.
Muda mwingine hata nikiwa na mwanamke tukimaliza mchezo akisinzia tu nashika sim napiga nyeto

MSAADA WAKUU
Mkuu endelea kupiga, maana ukiacha utaua mke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah punyeto mbaya sana mi nilipiga kwa muda wa miaka 13. Nilijaribu kuacha mara kadhaa mwaka wa 11 na 12 lakini nilijikuta nikishindwa kuacha hadi mwaka wa 13 nilipo aibika mbele ya mchumba wangu nilipiga kimoja cha kuku mnara ukalala mazima nilipata aibu sana maana nilikuwa nimejisifu ni kidume natembea dakika 45 kwenye game lakini siku hiyo nilitumia kama dakika 1 na sekunde 23 hivi. Hii ilinitokea kwasababu nilikuwa nimezoea kuwa*** mademu nikiwa nimevaa kondonomn sasa huyo mchumba wangu alikuwa anataka kitu manya kwa manya nilivyo chomeka tu kutoka na ule ulaini wa K nikaanza jisikia wazungu wanagonga mlango...

Kukwea mnazi hakufai japo kuna kusaidia kujiridhisha muda wowote unao utaka, haugharimiki sana, kutokupata ukimwi nakadhalika ila madhara yake kwenye ndoa na kisaikolojia ni makubwa kuliko wengi wanavyofikiria.

Puli mbaya!

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujamsaidia mwezii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee mi nimechana kadi ya chama na kuachana na falsafa za chama
 
Back
Top Bottom