Purchasing TZ Government Bonds

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Kuna yoyote ana experience na ununuaji wa Bondi za serikali ya Tanzania? Chombo gani kinahusika, ni BOT au DSE?
 
Huwa BoT wanatoa taarifa kwenye mtandao wao na kuchapishwa kwenye magazeti.

Kwa taarifa zaidi kawaone BoT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…