SAYVILLE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 7,895 Reaction score 12,975 Oct 2, 2015 #1 Kuna yoyote ana experience na ununuaji wa Bondi za serikali ya Tanzania? Chombo gani kinahusika, ni BOT au DSE?
Kuna yoyote ana experience na ununuaji wa Bondi za serikali ya Tanzania? Chombo gani kinahusika, ni BOT au DSE?
cerengeti JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 3,878 Reaction score 1,626 Oct 2, 2015 #2 Nenda BOT.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 Oct 2, 2015 #3 Huwa BoT wanatoa taarifa kwenye mtandao wao na kuchapishwa kwenye magazeti. Kwa taarifa zaidi kawaone BoT.
Huwa BoT wanatoa taarifa kwenye mtandao wao na kuchapishwa kwenye magazeti. Kwa taarifa zaidi kawaone BoT.
SAYVILLE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 7,895 Reaction score 12,975 Oct 2, 2015 Thread starter #4 Ok. Shukrani.