Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Bei kubwa sana labda uwatafute wazungu ndio watamudu 800,000/= bei ya mbwa aina hiyo ni kati ya tsh 200,000/= hadi 300,000/=. mwisho.
Hela hiyo.nanunua ng'ombe wa kilo 150 kwenda juu...Pohamba,Albimany,master mind himself,stephot,emmanepoultryfarm,munisijo,ngongo,everlenk na jephta 2003....picture nimeweka na mm napatikana yombo makangarawe...Temeke...bei ni 800000
anabweka kwa vocal
Tatizo wabongo wengi hawajui bei za pure Germany shepherd ndio maana wanaropoka tu humu ndani,tunauza kwa bei ya million mara zote na watu wananunua sana tu,lamda siyo pure gremany shepherd ndio laki tano,yani kachanganya mbegu! Kwa pure hiyo ndio bei mkuu
Watu wangekuwa wanannunua hao "germany shepherdy", "gremany shepherd" etc kwa millioni, asingehangaika kuweka bandiko mtandaoni.
Watu wangekuwa wanannunua hao "germany shepherdy", "gremany shepherd" etc kwa millioni, asingehangaika kuweka bandiko mtandaoni.
Kaka.....walikua kumi na mpaka sasa wapo wanne....na wote niliwauza kwa 800000....if you cant afford please ask us how to look for money for you to afford....germany shepherd ana kitu speacil na sizani kama unajua....
Kama ni hivyo basi pombe ingekuwa haitangazwi kwenye magazeti na Internet
Miezi miwili
Safi chief,pm me ur namba pliz.[/QUOi
Ipo hapo juu