Purukushani na Vurugu zatokea wakati aliyekuwa Makamu wa Rais Rigathi Gachagua akizindua chama chake DCP

Purukushani na Vurugu zatokea wakati aliyekuwa Makamu wa Rais Rigathi Gachagua akizindua chama chake DCP

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,954
Reaction score
80,256
NTV Kenya:
Wamepost video za walinzi wa aliyekuwa makamu wa Rais wa Kenya wakifyatua risasi hewani kuwatawanya wahuni waliovamia na kuleta vurugu wakati Gachagua akilaunch chama chake.

Riggy G anaungana na makamu mstaafu wa Rais Kalonzo Musyoka, Waziri mstaafu Matiangi, Wamalwa na Martha Karua wakiwa na lengo la kumuondoa Ruto uchaguzi mkuu 2027.
 
NTV Kenya:
Wamepost video za walinzi wa aliyekuwa makamu wa Rais wa Kenya wakifyatua risasi hewani kuwatawanya wahuni waliovamia na kuleta vurugu wakati Gachagua akilaunch chama chake.

Riggy G anaungana na makamu mstaafu wa Rais Kalonzo Musyoka, waziri mstaafu Matiangi, Wamalwa na Martha Karua wakiwa na lengo la kumuondoa Ruto uchaguzi mkuu 2027.
Kwaiyo odinga itakuaje?
 
Back
Top Bottom