Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Wakuu
Inasemekana kupiga push up 200 kwa Siku ni hatari kwa afya kwani husababisha uti wa mgongo kupinda na kusababisha tatizo linaliotwa kitaalamu 'Kyphosis' na husababisha maumivu ya mgongo na kuharibu mwonekano wa mtu ambapo hushindwa kusimama kwa kunyooka kama picha zinavyoonyesha.
Tuchukue tahadhari.
Mwenyewe maoni tofauti juu ya kiwango cha push ambacho ni salama kwa afya anakaribishwa.
Ahsante.