Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu push up 300?asubuhi tu,chai si unamaliza themos nzima[emoji3]Kwangu Push up ni kilevi kama vilevi vingine na nisipopiga kwa siku mbili basi sijioni kama mti kabisa.
Nikiamka tu kitandani lazima nipige push Mia tatu asubuhi kila siku.
Naomba kuwasilisha
😂😂😂😂[emoji23][emoji23],10 asubuhi,10 jioni imeisha hio
70*5=350 push ups kwa asubuhi tu,Hizi ni kama mtoto anavyoanza Kutembea..
Anza kwa program maalumu na Malengo.
Kuna Push up za kutengeneza maeneo fulani kwa Uharaka.. na kuna Push up za kubalance mwil kwa ujumla.
Kwa ufupi.. Anza kwa push up 5.. unapanda kadri unavyojiweza mpk 15 per single round.
Mie nilianza kwa push up 3.. Enzi hizo sahiv naenda 70 per round so nikienda round 5 inatosha kbs
Mara nyingi nafanya Jioni.. Asubuh nakosa muda. Shukran70*5=350 push ups kwa asubuhi tu,
Hongera
Hii nilianza Kufanya mwezi uliopita nikawa nakaa kwa dk2..(tumbo linavibrate uwiii)..nikaja kuacha ..umenishauri vyema nitaanza tena ili kuzifikia push upAnza na plank ili mikono yako izoee kubeba uzito wa mwili wako,ukiweza kukaa hivi hata dk 1 itakuwa mwanzo mzuriView attachment 1628779
Mim napiga 100 kila asubuh....Wewe ngapi zinakufaa
Inategemea na life style yako ila kama ni for body fitness naona kama ni nyingiMim napiga 100 kila asubuh....
acha uongo uongo mzeeWakuu
Inasemekana kupiga push up 200 kwa Siku ni hatari kwa afya kwani husababisha uti wa mgongo kupinda na kusababisha tatizo linaliotwa kitaalamu 'Kyphosis' na husababisha maumivu ya mgongo na kuharibu mwonekano wa mtu ambapo hushindwa kusimama kwa kunyooka kama picha zinavyoonyesha.
Tuchukue tahadhari.
Mwenyewe maoni tofauti juu ya kiwango cha push ambacho ni salama kwa afya anakaribishwa.
Ahsante.View attachment 1628680View attachment 1628681View attachment 1628682
Wajeda wa wapi wanaofanya hivyo?Mbona hatuoni wajeda wakiwa na hilo tatizo mana wao hata push up 2000 kwa siku
Naam! Dada ake