Kabisaa. Na hata hizo unatakiwa usizembee maana pushup si mchezo kuzifanya kama sehemu ya ratiba yako ya kila siku. Wengi wakiamka ni bafuni kukimbizana kwenye usafiri dhen kibaruani20 asubuhi na 20 jioni, zinatosha
Huu sasa utani..20..si unajichosha tu20 asubuhi na 20 jioni, zinatosha
Wewe ngapi zinakufaaHuu sasa utani..20..si unajichosha tu
Nawezaje kupiga push up Jamani.. napenda ila hazinipendiSidhan kama ni UTI wa mgongo ndio unapinda bali ni Muscles za Mgongo Upper part na Mid part zinakuwa zimejengeka zaidi hivyo kusababisha Normal posture ya mtu kubadilika.
Kwa maono yangu..
Coz Push up ina involve Mwili wote 100% na inashauriwa kufanya Push up nyingi na mara kwa mara kwa AFYA ya Uti wa MGONGO..
So far .. inaweza ikawa ni sababu ya hilo tatizo IKIWA.. mfanyaj wa zoez hili hatokaa MKAO sahihi wa kufanya zoezi hilo.. Unless PUSH UP hazina madhara yeyote ktk UTI wa Mgongo hata Upige 1000 ni ww na Muscles zako tu.
Hizi ni kama mtoto anavyoanza Kutembea..Nawezaje kupiga push up Jamani.. napenda ila hazinipendi
Ahsante SanaHizi ni kama mtoto anavyoanza Kutembea..
Anza kwa program maalumu na Malengo.
Kuna Push up za kutengeneza maeneo fulani kwa Uharaka.. na kuna Push up za kubalance mwil kwa ujumla.
Kwa ufupi.. Anza kwa push up 5.. unapanda kadri unavyojiweza mpk 15 per single round.
Mie nilianza kwa push up 3.. Enzi hizo sahiv naenda 70 per round so nikienda round 5 inatosha kbs