Pushapu asubuhi

Yes, huwa nafanya mazoezi asubuhi mwishoni napiga pushups, mpaka sasa naweza kupiga saba tu na naishia kulala hapo hapo, duuuu

Aise ni push ups as push ups, don't misquote me
Mbona mama unajihami na hizo push ups?
 
Faida mojawapo ya pushapu za asubuhi kama uko serious na mazoezi ukizoea automatic inakua ni kama alarm yako kudamka mapema unapiga tizi kama ni kibaruani unawahi ata apetaiza ya chai inakuepo
 
sijui kama itakuja kutokea kuacha kupiga angalau push ups 30 kama ninaafya njema sina ugojwa...

Kwakweli sijawai kumka kitandani nisipige Push ups
 
Ni kweli kwamba Push ups au mazoezi ya kunyanyua vyuma ni kwa broke, poorest & jobless people.
 
sijui kama itakuja kutokea kuacha kupiga angalau push ups 30 kama ninaafya njema sina ugojwa...

Kwakweli sijawai kumka kitandani nisipige Push ups
Aseee tuko pamoja....asubuhi siwez oga bila kupiga kwanza push ups za kutosha.
 
Mbona mi vya kwangu vipo simple tu mkuu wala havija chubuka
 
Si uliwahi kusema humu ukipiga push up 3 hufika hadi kileleni, siku hizi unapiga hadi 7?
Hongera 😜😜😜

Yes, huwa nafanya mazoezi asubuhi mwishoni napiga pushups, mpaka sasa naweza kupiga saba tu na naishia kulala hapo hapo, duuuu

Aise ni push ups as push ups, don't misquote me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…