Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Mbona mama unajihami na hizo push ups?Yes, huwa nafanya mazoezi asubuhi mwishoni napiga pushups, mpaka sasa naweza kupiga saba tu na naishia kulala hapo hapo, duuuu
Aise ni push ups as push ups, don't misquote me