Putin abadili gia, asema atakubali yaishe kama Magahribi wataacha kuwapa Ukraine silaha

Putin abadili gia, asema atakubali yaishe kama Magahribi wataacha kuwapa Ukraine silaha

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mwanzo alisema atamshughulkia atakayeisadia Ukraine kwa silaha, sasa hali imekua hovyo abadili gia na kusema atakubali yaishe kama Magharibi wataacha kuwapa Ukraine silaha zinazomchakaza....

 
Zimevuja Ursula Van da Leyen aomba mzagamuo na Putin
 
kinyume chake kama wakiendelea kumpa silaha ukraine...?[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom