Putin ajisahau na kukiri kwamba Urusi inapitia kipindi kigumu kwenye teknolojia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sijui kwa bahati mbaya au amekiri kimaksudi, maana kila siku huwa anabwatuka mikwara jinsi atabonyeza manyuklia yake.

=====

Vladimir Putin has admitted Russia is facing “colossal” technology problems due to the world’s biggest entertainment brands ceasing operations in the country.

But the Russian president insisted it was impossible to cut his nation off from the rest of the world and the West would not push Moscow’s development back by “decades”.

Maryville Forum
 
Mtu mkweli. Wala hana sababu ya kufake life. Anajua it's a matter of time! Mbona Ulaya wanampigia magoti kwenye suala la chakula na ngano? Mafuta je? Gesi?

Katika ulimwengu ambao ni staarabu (civilized world), huna sababu ya kutengeneza kila kitu. Mnafanya exchange, mwenye hiki anakupa then wewe unampa kile.

Huo ndio ulimwengu tuliourithi kutoka kwa Father Ibrahimu, lakini Marekani amejitahidi sana kuuvuruga.

Ndiyo maana Putin ameahidi kwamba wameshajipanga!
 
Kwa hapo amefikishwa hakawii kujikuta anaongea mwenyewe, Warusi wawe makini sana naye asije akabonyeza nyuklia, maana amesubiriwa siku atashambulia kwa nyuklia ndio siku Urusi itafutwa kwenye uso wa dunia, kwa majibu atakayopata.
 
Sijui kwa bahati mbaya au amekiri kimaksudi, maana kila siku huwa anabwatuka mikwara jinsi atabonyeza manyuklia yake....

Vladimir Putin has admitted Russia is facing “colossal” technology problems due to the world’s biggest entertainment brands ceasing operations in the country.
But the Russian president insisted it was impossible to cut his nation off from the rest of the world and the West would not push Moscow’s development back by “decades”.
Hizi ni propaganda tu Putin hawezi kusema ujinga kama huo
 
Sioni shida hapo maana ni ukweli,hata US akipigwa pini ghafla na Hawa waliomuwekea vikwazo Putin,lazima Kuna vitu vingi vya kitech atapata wakati mgumu!
Putin anasubiri msimu wa narudi Ili na yeye aweke masharti ya gas yake Kwa wale watakaohitaji!Hii inaitwa nipe nikupe!
 
Mbona husema mengi tu, tatizo huwa hamumsklizi, mumekua viziwi kusifia na kumuabudu hata bila kuskliza anachokisema, kuna siku ataitukana dini yenu kabisa na bado mtamsifia tu.
Ngoja tuone hizi propaganda zitafika wapi, wakati ni jaji mzuri sana
 
Russia ukombozi wao utakuwa pale dikteta Putin atakapong'oka madarakani.

Russia ni nchi yenye bahati mbaya ya kuwa na watawala wa kiimla na ndio sababu iliyowafanya wawe nyuma kiuchumi pamoja na kwamba ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na rasilimali lukuki za asili.

Russia ingekuwa na mfumo wa utawala kama ule wa Marekani basi leo hii yenyewe ndio ingekuwa nchi tajiri sana duniani hata kuizidi Marekani mara mbili au zaidi.

Lakini kwa bahati mbaya wanazidiwa hata na jimbo moja tu la Marekani.!
 
Kwa mujibu wa data za imf na wb
 
Sijui kwa bahati mbaya au amekiri kimaksudi, maana kila siku huwa anabwatuka mikwara jinsi atabonyeza manyuklia yake.

=====

Vladimir Putin has admitted Russia is facing “colossal” technology problems due to the world’s biggest entertainment brands ceasing operations in the country.

But the Russian president insisted it was impossible to cut his nation off from the rest of the world and the West would not push Moscow’s development back by “decades”.

Maryville Forum
Wanakuja mademu wa kurusi kupinga muda sio mrefu[emoji1787]
 
Uko sahihi

Hii mbona inajulikana hata china kunavitu vya kitekinolojia walikuwa wanategemea ushirikiano na makampuni mbalimbali duniani kama ilivyo tokea kwa huwawei ,ila kwa sasa ndiyo maana mrusi kasema mambo hayawezi kurudi tena kama zamani hata dola tunaikataa na kuimalisha pesa zetu kwenye soko la dunia na tekinolojia zote tutajitegemeakwa kuziunda wenyewe
 
Kwa hapo amefikishwa hakawii kujikuta anaongea mwenyewe, Warusi wawe makini sana naye asije akabonyeza nyuklia, maana amesubiriwa siku atashambulia kwa nyuklia ndio siku Urusi itafutwa kwenye uso wa dunia, kwa majibu atakayopata.
Wewe ni zuzu vita ya nuke ikianza basi mrusi atakuwa mshindi bila shaka yoyote kutokana na jiografia ya urusi na mfumo wa uchumi wa marekani ...mfano bomu la nuke likitua new york litakuwa na madhara mara 100 kuliko likitua Moscow kutokana na magorofa yalivyo kaa na urefu wake tofauti na miji ya urusi ambayo ipo chini chini na haina msongamano wa watu
 
Kwa hapo amefikishwa hakawii kujikuta anaongea mwenyewe, Warusi wawe makini sana naye asije akabonyeza nyuklia, maana amesubiriwa siku atashambulia kwa nyuklia ndio siku Urusi itafutwa kwenye uso wa dunia, kwa majibu atakayopata.
Jasmoni tega ,usiumize ubongo wako kubishana na huyu mkenya ,nikukumbushe huyu ni Kati ya wale wafuasi wa [emoji304],hivyo usipoteze muda ku argue na kiumbe Kama hiki
 
Kwa mujibu wa data za imf na wb
Asiyejua maana haambiwi maana! JF imeingiliwa! No research, no right to speak. Mkumbushe kuna kitu kinaitwa G8! Mengine ni propaganda.
Kuna siku Putin aliambiwa kuwa jumuia ya kimataifa itamtenga. Akauliza, je, nani anamuhitaji mwenzake. Russia inahitaji jumuia ya kimataifa au hiyo ndio inahitaji Russia? Marekani yake ilivamia Vietnam, Iraq na Afghanistan. Haikuwekewa vikwazo. Tulikuwa tunasikia na kusoma tu kwenye mitandao. Nchi nyingi zimewekewa vikwazo vikabaki vyao na shangazi zao!
Russia imewekewa vikwazo. Anayeumia ni jumuia ya kimataifa! Muda unakuja na tayari upo, Ulaya itamwambia Marekani iachane na upuuzi wake. Macron na Boris Johnson wanaonja joto ya jiwe kwa kimbelembele chao kwenye operation ya Putin Ukraine. Try to be analytical.
 
Back
Top Bottom