matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Sasa ntu anajipigia anavyotaka ndani ya nchi na Kila sehemu. Kwa taifa ambalo tunalisifu kiintelijensia ni tusi kubwa. Kama SBU wanaweza kuwaka ofisi pembeni ya jengo la FSB Russia ndani kabisa, na kiendesha operation ya kuteketeza madege ya kimkakati. Nchi chovu kama Ukraine inaweza kufanya hivyo CIA au MI6 SI watakuwa na base Hadi Ikulu ya PutinWe unazani vita ni kazi rahisi kama unavyokunya sio
Ukraine ni nchi chovu hivi unaakili timamu kweli weweSasa ntu anajipigia anavyotaka ndani ya nchi na Kila sehemu. Kwa taifa ambalo tunalisifu kiintelijensia ni tusi kubwa. Kama SBU wanaweza kuwaka ofisi pembeni ya jengo la FSB Russia ndani kabisa, na kiendesha operation ya kuteketeza madege ya kimkakati. Nchi chovu kama Ukraine inaweza kufanya hivyo CIA au MI6 SI watakuwa na base Hadi Ikulu ya Putin
Jamaa ameniudhi sana. Labda kama ni mpango wa wanaoendesha dunia kuirefusha hiyo vita akiwemo na Putin.Putin naona unataka hii vita iende miaka 30.Huwezi kupigana na mtu ambaye ana-back up ya wazi ya mataifa mengine 30+ tena matajiri mengibe kukuzidi wewe, unakaa unamwachia ajikusanye, humpi kashkashi yoyote ya maana, unakalia unapiga sijui power lines etc..huu ni ujinga wa kiwango cha lami.
Hapo ilikuwa na kumu-overwhelm tu Ukraine..
Tangaza siku tatu watu waondoke Kiev - then nyesa mvua ya makombora pale, mpaka akili zikae sawa.
Tangaza SBU ni kikundi cha Kigaidi.
Tangaza serikali yote ni batili
Teketeza government institutions zote, majengo, bunge etc
Zile reli kutoka Poland kwenda Kiev washa moto,
Toa list ya watu waliohusika na kutenda maovu ya moja kwa moja kinyume na sheria za vita, mfano hao waliolipua treni ya abiria: Tengeneza sheria ya kuwawinda to the rest of their life..
Mbona vita vinaisha ndani ya wiki 2 tu.
Hivi Putin anafikiri 1945 mpaka US anaamua ku-nuke Japan, shida ilikua nini?Ni mambo hayahaya tu - vita haiishi, watu wabishi hawakubali kushindwa
Vita sio Rahisi hivyo kama unavyokunya huyo Putin mwenyewe anamisaaada kutoka Iran china Korea lakini jasho linamtoka ni rahisi kuielezea vita hapa jamii forum lakini ingia ground ndio ujue ugumu wakePutin naona unataka hii vita iende miaka 30.Huwezi kupigana na mtu ambaye ana-back up ya wazi ya mataifa mengine 30+ tena matajiri mengibe kukuzidi wewe, unakaa unamwachia ajikusanye, humpi kashkashi yoyote ya maana, unakalia unapiga sijui power lines etc..huu ni ujinga wa kiwango cha lami.
Hapo ilikuwa na kumu-overwhelm tu Ukraine..
Tangaza siku tatu watu waondoke Kiev - then nyesa mvua ya makombora pale, mpaka akili zikae sawa.
Tangaza SBU ni kikundi cha Kigaidi.
Tangaza serikali yote ni batili
Teketeza government institutions zote, majengo, bunge etc
Zile reli kutoka Poland kwenda Kiev washa moto,
Toa list ya watu waliohusika na kutenda maovu ya moja kwa moja kinyume na sheria za vita, mfano hao waliolipua treni ya abiria: Tengeneza sheria ya kuwawinda to the rest of their life..
Mbona vita vinaisha ndani ya wiki 2 tu.
Hivi Putin anafikiri 1945 mpaka US anaamua ku-nuke Japan, shida ilikua nini?Ni mambo hayahaya tu - vita haiishi, watu wabishi hawakubali kushindwa
Hivi wewe unaakili timamu kweli unafikiri vita dhidi ya nchi ilivyokua vizuri kijeshi ni maneno hayo ya mdomoni unayoongea kirahisi sio eti apige amalize vita anavyopiga yeye atakua hapigwi vita sio taarabuJamaa ameniudhi sana. Labda kama ni mpango wa wanaoendesha dunia kuirefusha hiyo vita akiwemo na Putin.
Wale jamaa walipshambuliwa Bucha wakati wanaenda Kiev walitakiwa kujipanga waendelee tena Hadi wamtoe Zelenski Ikulu. Leo wanaweza kuvurugwa na wakaanza kuibua hata uasi kama wa zamani Chechnya na west wakatumia kama gumbo kuidhoofisha kabisa Russia kupitia Ukraine.
Putin simuelewi kabisa siku hizi.
Sio rahisi km unavyofikiria, ingekuwa vita ni rahisi hivyo, Israel angekuwa ameshaiteka Gaza yote kwa muda mrefu, vita vya siku hizi ni lazima utumie akili kubwa sana ilinuchumi usiathirike, mfano: Ukraine wanatengeneza drone za ghalama ndogo sana lkn madhala yake ni makubwa, ukitaka kuzindungua utatumia makombora ya ghalama kubwa kuliko ghalama za drone, ndio maana drone zinaingia Urusi lkn kuzitungua inakuwa mtihani.Putin naona unataka hii vita iende miaka 30.Huwezi kupigana na mtu ambaye ana-back up ya wazi ya mataifa mengine 30+ tena matajiri mengibe kukuzidi wewe, unakaa unamwachia ajikusanye, humpi kashkashi yoyote ya maana, unakalia unapiga sijui power lines etc..huu ni ujinga wa kiwango cha lami.
Hapo ilikuwa na kumu-overwhelm tu Ukraine..
Tangaza siku tatu watu waondoke Kiev - then nyesa mvua ya makombora pale, mpaka akili zikae sawa.
Tangaza SBU ni kikundi cha Kigaidi.
Tangaza serikali yote ni batili
Teketeza government institutions zote, majengo, bunge etc
Zile reli kutoka Poland kwenda Kiev washa moto,
Toa list ya watu waliohusika na kutenda maovu ya moja kwa moja kinyume na sheria za vita, mfano hao waliolipua treni ya abiria: Tengeneza sheria ya kuwawinda to the rest of their life..
Mbona vita vinaisha ndani ya wiki 2 tu.
Hivi Putin anafikiri 1945 mpaka US anaamua ku-nuke Japan, shida ilikua nini?Ni mambo hayahaya tu - vita haiishi, watu wabishi hawakubali kushindwa
Wewe kiazi mbatata kabisa, Unalinganisha US, NATO, GERMANY, UINGEREZA, SWEDEN etc na Iran na North Korea??Vita sio Rahisi hivyo kama unavyokunya huyo Putin mwenyewe anamisaaada kutoka Iran china Korea lakini jasho linamtoka ni rahisi kuielezea vita hapa jamii forum lakini ingia ground ndio ujue ugumu wake
Mavi wewe kubwa jinga urusi linasaidiwa na china Iran korea msaada ni msaada hamna Cha kulinganisha jinga wewe Putin ni mpiganaji wa vita ya mdomoni kama kuduku ila ground ni empty Ukraine inamtoa jasho la matako miaka 4 sasa ndio ujue vita sio kitu rahisiWewe kiazi mbatata kabisa, Unalinganisha US, NATO, GERMANY, UINGEREZA, SWEDEN etc na Iran na North Korea??
Siyo kwamba Putin anapenda iwe hivyo, ameelemewa. Vita siyo lelemama brooSasa ni hakika Putin akiendelea kupuuza kumshikisha adabu Zelenski na kutengua kabisa UTI wa magongo wa operations za Jeshi la Ukraine na Intelijensia yake na wanaowapa kichwa nchi ya Russia italemazwa kabisa kijeshi.
Kwanza mleta mada atwambie kwanini anaamini kuwa Russia anawachekea wa Ukraine, hajawa serious na vita hiyo? Au Russia ndo walivyomwambia kwamba hawajawa serious na vita hiyo? Kama si hivyo, basi mleda mada anayo matarajio makubwa sana kwa ku Russia kuliko uwezo wao.We unazani vita ni kazi rahisi kama unavyokunya sio
Nyani km we badala upambane na ufukara wako unajadili mambo ya matajiri km Russia? Lazima ni mwehu wwTukio la Drone za Ukraine kuteketeza madege ya thamani ya trillions za shilingi, Tena madege yaliyo ndani kabisa mwa Urusi ni tishio kuu ambalo likipuuzwa litakalofuata litavuja UTI wa magongo wa Jeshi la Russia.
Hivi juzi nimesoma mamia ya document zenye picha na taarifa nyeti za Siri za urusi za Maficho yote ya silaha ZAO za Nyuklia na ramani ya namna ya kufika zimevuja KWA West. Sasa wanaweza kuwasuprise zaidi.
Juzijuzi ndege ya Rais wa Urusi Putin akiwemo imenusulika kudunguliwa na drones za Ukraine. Hii inaonyesha hata Putin anaishi KWA sababu za kisiasa tu Kijeshi wakiamua Ukraine wanamuondoa.
FSB wanadhalilishwa kuonekana hawawezi kazi na Russia yote Iko uchi KWA mataifa pinzani ni wao tu kuamua waanze na nani na wapi.
Sasa ni hakika Putin akiendelea kupuuza kumshikisha adabu Zelenski na kutengua kabisa UTI wa magongo wa operations za Jeshi la Ukraine na Intelijensia yake na wanaowapa kichwa nchi ya Russia italemazwa kabisa kijeshi.
Binafsi nimesikitishwa sana kuona midege ya thamani ikiteketea utadhani kuni. Hii inaonyesha Sasa Ukraine inaweza kufanya chochote ndani ya Russia hata kuivuruga na kuiangisha kabisa KWA msaada wa west.
Ni hayo tu
Wewe ni Fala sana, kwa hoyo Ukraine ndio anastahili kupotezwa?Tukio la Drone za Ukraine kuteketeza madege ya thamani ya trillions za shilingi, Tena madege yaliyo ndani kabisa mwa Urusi ni tishio kuu ambalo likipuuzwa litakalofuata litavuja UTI wa magongo wa Jeshi la Russia.
Hivi juzi nimesoma mamia ya document zenye picha na taarifa nyeti za Siri za urusi za Maficho yote ya silaha ZAO za Nyuklia na ramani ya namna ya kufika zimevuja KWA West. Sasa wanaweza kuwasuprise zaidi.
Juzijuzi ndege ya Rais wa Urusi Putin akiwemo imenusulika kudunguliwa na drones za Ukraine. Hii inaonyesha hata Putin anaishi KWA sababu za kisiasa tu Kijeshi wakiamua Ukraine wanamuondoa.
FSB wanadhalilishwa kuonekana hawawezi kazi na Russia yote Iko uchi KWA mataifa pinzani ni wao tu kuamua waanze na nani na wapi.
Sasa ni hakika Putin akiendelea kupuuza kumshikisha adabu Zelenski na kutengua kabisa UTI wa magongo wa operations za Jeshi la Ukraine na Intelijensia yake na wanaowapa kichwa nchi ya Russia italemazwa kabisa kijeshi.
Binafsi nimesikitishwa sana kuona midege ya thamani ikiteketea utadhani kuni. Hii inaonyesha Sasa Ukraine inaweza kufanya chochote ndani ya Russia hata kuivuruga na kuiangisha kabisa KWA msaada wa west.
Ni hayo tu
Lengo la vita ni kuvishinda, ukiona Putin hadi sasa lengo lake halijatimia ujue hana namna, ngoma ngumuTukio la Drone za Ukraine kuteketeza madege ya thamani ya trillions za shilingi, Tena madege yaliyo ndani kabisa mwa Urusi ni tishio kuu ambalo likipuuzwa litakalofuata litavuja UTI wa magongo wa Jeshi la Russia.
Hivi juzi nimesoma mamia ya document zenye picha na taarifa nyeti za Siri za urusi za Maficho yote ya silaha ZAO za Nyuklia na ramani ya namna ya kufika zimevuja KWA West. Sasa wanaweza kuwasuprise zaidi.
Juzijuzi ndege ya Rais wa Urusi Putin akiwemo imenusulika kudunguliwa na drones za Ukraine. Hii inaonyesha hata Putin anaishi KWA sababu za kisiasa tu Kijeshi wakiamua Ukraine wanamuondoa.
FSB wanadhalilishwa kuonekana hawawezi kazi na Russia yote Iko uchi KWA mataifa pinzani ni wao tu kuamua waanze na nani na wapi.
Sasa ni hakika Putin akiendelea kupuuza kumshikisha adabu Zelenski na kutengua kabisa UTI wa magongo wa operations za Jeshi la Ukraine na Intelijensia yake na wanaowapa kichwa nchi ya Russia italemazwa kabisa kijeshi.
Binafsi nimesikitishwa sana kuona midege ya thamani ikiteketea utadhani kuni. Hii inaonyesha Sasa Ukraine inaweza kufanya chochote ndani ya Russia hata kuivuruga na kuiangisha kabisa KWA msaada wa west.
Ni hayo tu
Hili ndio jibuLengo la vita ni kuvishinda, ukiona Putin hadi sasa lengo lake halijatimia ujue hana namna, ngoma ngumu
Wewe unaamini Ukraine hakuna nuclear pale kutoka West na Allies wake? Wakati vita vinaanza unakumbuka kilichokuwa kinazungumzwa na mataifa ya magharibi hasa UK? UK walisema wamedeploy nuclear weapons Poland, mpakani na Russia. Military base ya US iliyopo Japan ipo 24/7 kuchunguza kama kuna kiashiria chochote cha Russia kutumia Nuclear.Putin naona unataka hii vita iende miaka 30.Huwezi kupigana na mtu ambaye ana-back up ya wazi ya mataifa mengine 30+ tena matajiri mengibe kukuzidi wewe, unakaa unamwachia ajikusanye, humpi kashkashi yoyote ya maana, unakalia unapiga sijui power lines etc..huu ni ujinga wa kiwango cha lami.
Hapo ilikuwa na kumu-overwhelm tu Ukraine..
Tangaza siku tatu watu waondoke Kiev - then nyesa mvua ya makombora pale, mpaka akili zikae sawa.
Tangaza SBU ni kikundi cha Kigaidi.
Tangaza serikali yote ni batili
Teketeza government institutions zote, majengo, bunge etc
Zile reli kutoka Poland kwenda Kiev washa moto,
Toa list ya watu waliohusika na kutenda maovu ya moja kwa moja kinyume na sheria za vita, mfano hao waliolipua treni ya abiria: Tengeneza sheria ya kuwawinda to the rest of their life..
Mbona vita vinaisha ndani ya wiki 2 tu.
Hivi Putin anafikiri 1945 mpaka US anaamua ku-nuke Japan, shida ilikua nini?Ni mambo hayahaya tu - vita haiishi, watu wabishi hawakubali kushindwa
jamaa anaiongelea vita kama Simba v Yanga.Hivi wewe unaakili timamu kweli unafikiri vita dhidi ya nchi ilivyokua vizuri kijeshi ni maneno hayo ya mdomoni unayoongea kirahisi sio eti apige amalize vita anavyopiga yeye atakua hapigwi vita sio taarabu
Unafikiri rahisi hivyo unavyosema. Shughuli ipo. Uchumi wake pia hauruhusu sana kufanya hayo uyasemayo. Unakumbuka mara ya kwanza alikuja mzimamzima mpaka Kiev lakini akarudi akikimbia.Putin naona unataka hii vita iende miaka 30.Huwezi kupigana na mtu ambaye ana-back up ya wazi ya mataifa mengine 30+ tena matajiri mengibe kukuzidi wewe, unakaa unamwachia ajikusanye, humpi kashkashi yoyote ya maana, unakalia unapiga sijui power lines etc..huu ni ujinga wa kiwango cha lami.