Putin akiendelea kuichekea Ukraine: NATO italisambaratisha taifa hilo siku chache zijazo

Hasira zote hizo na povu lote hilo kisa Ukraine na Urusi na comments za humu au una mambo yanakusumbua wewe kiazi mbatata??Peleka hasira zako kwa mkeo au kwa mmeo huko, unawaza ujinga tu...na uchafu...
 
Hiii vita wala sio ya nyuklia nyie watu.Ujerumani yenyewe watu hawakutumia Nyuklia sembuse hii ya Ukraine, msikuze mambo.
Pili sisi tunaangalia facts na data - kama wanasema Urusi ni namba mbili kwa uwezo wa kijeshi hawashindwi chochote, Trump mwenyewe kaishasema hicho kitu..
 
Namba mbili Kwa uwezo kijeshi angekua anajambishwa hivyo na Ukraine mpaka anaomba msaada wa askari Korea akili huna wewe hiyo namba mbili jina tu ground mambo ni tofauti sana ndio maana miaka minne urusi wanajambajam a tu pamoja na kusaidiwa na china Iran na korea
 
Mkuu mataifa yenye nguvu huwa mikakati yao inaanzia mbali sana kwa mtazamo wangu naona hii vita Ukraine ilitolewa kafara na mataifa makubwa ila target ikiwa Putin ila mambo yanekuwa magumu. UK wameongeza budget ya jeshi kwa ukubwa kwa kudai ya kuwa wanaweza ingia vitani na Russia kwa siku za mbeleni. Dunia inazunguka ukifuatilia hii vita watu walioiingia kichwa kichwa huko congo kuna funzo kubwa sana sema kusikia kwa kenge ndio shida.
 
Basi namba mbili ni Tz basi..naona unaongea kama umekatwa kichwa, kila unachoongea unawaza chini huko kwenye uchafu tu.Vijana tulieni hizo presha zenu msizilete huku mitandaoni, huku tunahitaki kubadirishana mawazo na watu waliotulia.Sasa wewe unafikiri ukiongea matusi au ukahamaki hao Ukraine au Warussi inawasaidia kitu??? Presha itapiga wewe ukiendelea hivyo
 
Mimi ningekuwa Putin ningefanya hayo hayo ulio yaongea safi sana.
 
Urusi ni kubwa jinga unalojitahidi kulitetea ila Hana uwezo wa kumpiga Ukraine na Hilo limethibitishwa miaka 4 yupo hoi anahangaika kupiga mikwara japo kasaidiwa na ukubwa
 
Hili nilitaka kuliandika Jana hata kabla ya kupost, usiku nikakutana na habari hii. Tunakoelekea Ukraine itajipigia inakotaka na matokeo yake yatabaki yaleyale. Russia anatakiwa aivujevuje kabisa isiwe na uwezo wa kuiathiri. KITU ambacho Putin alitakiwa asipoe Hadi Jeshi la Ukraine na wadau wake amewavunja. Hapa atasumbuliwa sana
 
Kwa hiyo wewe unatakaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…