Putin akiri vikwazo kuanza kuiumiza Russia

Mahaba niue duh, Mama Samia ana kazi jamani
 
Urussi ni jinchi kubwa lenye rasilimali nyingi.
Ni kubwa mara nne zaidi ya ulaya yote.
Kwa hiyo to deal with Russia ni changamoto sana.
ILA MWISHOWE URUSSI KALEGEZWA speed ya vita imekuwa ndogo
 
Wenye mwaka lazima washachukua hatua , huyu mgeni wa maumivu ya vikwanzo litakua jambo endelevu kwake hadipale ,vita itakoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…