Putin ameagiza Wagner wafanyiwe uchunguzi

Zacht

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
1,026
Reaction score
2,266
Putin anaendelea kumtafuta mchawi wake huku ikiwa tayari ametangaza kuwachukulia hatua za kisheria viongozi wa Wagner kwa uhaini walioufanya.

Hivi sasa ameagiza mamlaka husika kuanza kuwafanyia uchunguzi Wagner group kwenye matumizi yao ya pesa.
Kwa kuangalia hela walizo lipwa na matumizi yao

Achana na mitandao sio rahisi taarifa za urusi kuzijua unless wao wameamua Tena kwa vyanzo vyao kwa asilimia kubwa hata BBC wenyewee wanaandika vitu tofauti na kinachoendelea huko
 
Habari ipi unadhani ni ya ulaghai jaribu kutafuta hotuba ya jana ya Putin ameongea mengi kuhusu uasi wa Wagner

Putin anasema maadui wa Urusi wangetumia fursa hiyo ikiwa maasi yangefaulu hivyo lazima Wagner waadhibiwe kwa uhaini wao huo
 
Sawa time will tell utajamwelewa Putin baadae sana
 
Achana na mitandao sio rahisi taarifa za urusi kuzijua unless wao wameamua Tena kwa vyanzo vyao kwa asilimia kubwa hata BBC wenyewee wanaandika vitu tofauti na kinachoendelea huko
Unahisi urusi hawaish watu wa asili nyingine ? Au unahisi wazungu kama nyiny wenzenu wanapenda kujifunza lugha mbali mbali na media kama bbc ina watu wa karibu kila lugha hivyo so hawaandiki tu kama kichwa chako kinavyohisi
 
Mambo ya urusi huwezi kuyajua acha ujuaji
 
Nyiny watu weusi kichwan ni bure kbs , kwann usifuatilie badala ya kuwa na ubishi wa kitoto

Ww ambae umeweka hapo umefuatilia ukafikia wapi?

Such kind of information huzipati kirahisi, unataka uchunguze involvement kwenye international level kama hizo wkt uko kwenu nanjilinji hata ishu dp world imekushinda?

Hizo ni international incidence you cant do that while uko jf,you need a team ,people of the ground whith multional access
 
Wagner anaweza kumchunguza urusi vizuri kuliko urusi ikuichunguza Wagner
 
Back
Top Bottom