Putin ampoteza Meja Jenerali, auawa katika mapigano Ukraine

... ukiisoma post ya Kichuguu hapo juu anaeleza jeshi la Russia ni la maafisa zaidi so kuwa jenerali Russia ni kawaida sana tofauti na nchi nyingine. That means, jenerali kuwa front line hence high risk ya kuuwawa ni kawaida.
Wazee wa 'qauntity matters not quality',

Ndio maana wana mavifaru mengi ila duni tu kwa sasa yamegeuka uchafu/vyuma chakavu hapo Ukraine
 
Wazee wa 'qauntity matters not quality',

Ndio maana wana mavifaru mengi ila duni tu kwa sasa yamegeuka uchafu)vyuma chakavu hapo Ukraine
... Ha ha ha! Umenikumbusha midahalo ya enzi hizo F2B Vs F2A; enzi zile ukichaguliwa government una "bahati kubwa".
 
Watakuambia ni propaganda
 
Mkuu wewe mambo ya vita kama hivi hujui lolote., unaambiwa mpaka vita inaisha kwa tabu nchi hupoteza jeneral 1 au 2 hivi sio kwa idadi hiyo ya Russia, ukiona hivyo ujue Putini ni mweupe
 
Mkuu wewe mambo ya vita kama hivi hujui lolote., unaambiwa mpaka vita inaisha kwa tabu nchi hupoteza jeneral 1 au 2 hivi sio kwa idadi hiyo ya Russia, ukiona hivyo ujue Putini ni mweupe
Mi kila siku nawaambia US kashajua jamaa ni overated ndio maana hata hasikii mikwala yake,

Ukraine angekuwa hata na nusu ya uwezo wa Russia tungekuwa tunaongea mengine leo..

Russia quantity Ukraine quality. Afu Kuna mrusi humu anakuambia Putin anauwezo wa kusambalatisha NATO yenye quantity and quality kwa pamoja.
 
jeshi la urusi ni kubwa wapo four stars generals wengi hivyo siyo ajabu kwa major general au lieutenant general kupiganisha vita
... kwa hiyo unachotuambia hapa ni kwamba Major General au Lieutenant General wa Russia ni sawa na Captain au Major kwa majeshi mengine? Highest rank ya jeshi la Russia in ipi? By the way, majeshi mengi wanaoongoza vikosi frontline ni Sergeants.
 
nilitaka kukukumbusha tu maafisa wa juu katika jeshi la Russia ni wengi, lakini jibu umeshajibiwa huko juu USA wanawaasist sana waukraine kuwasaka na kuwalenga maafisa wa ngazi za juu ili kushusha morali ya wapiganaji wa urusi
 
Unajua Gharama ya kumtrain mtu mwenye sifa kama huyo au unabwabwaja tuu, ni aheli upoteze Askari 1000 kuliko kumpoteza mtu kama huyo
Hivyo ndivyo akili zenu zilivyo??[emoji1787][emoji23]kwamba bora upoteze askari 1000 kuliko mtu mmoja, kweli Putin kawashika kisawasawa
 
Mkuu wewe mambo ya vita kama hivi hujui lolote., unaambiwa mpaka vita inaisha kwa tabu nchi hupoteza jeneral 1 au 2 hivi sio kwa idadi hiyo ya Russia, ukiona hivyo ujue Putini ni mweupe
Kalee watoto, acha mihemuko dada, yaani nyinyi mnasumbuliwa sana na hii vita kuanzia kiakili mpaka mnabaki kutoa mapovu[emoji23]
 
Hivi na majenerali nao huenda mstari wa mbele wa mapambano ?
T14 Armata Kichuguu Katunge World Wide
Majenerali wa Urusi huwa wanaenda kusisitiza maagizo waliyopewa. Jeshi lao halina delegation of power kubwa na maofisa wa chini hawaaminiwi sana hivyo wanapenda kutumia management by walking around.
Hii ni dalili ya kuwa na maofisa wa chini wasiojitosheleza kwa uwezo. Na ni dalili ya kuwa objectives hazifikiwi kwa uhakika hivyo kamanda wa juu anaenda mwenyewe kujaribu kuweka mambo sawa.
 
Bora ww ameijibu kitaalamu siyo iyoo Tu ata vita ya Kagera general Mboma alienda vitani kabisa kuwa na general vitani tna Kwa Russia ambayo mataifa makubwa wanamikono Yao bila ma general kwenda nii rahisi kuhujumiwa na Askari WA kawaida kukataa kusonga mbele au kuona kama wanatumika na viongozi WA juu kuwa na general vitani japo yeye haongozi mapigano Ila hutoa miongozo na kuwapa Askari morali zaidi na kuhakikisha logistics zote zinafika Kwa weledi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…