Putin ampoteza Meja Jenerali, auawa katika mapigano Ukraine

Putin ampoteza Meja Jenerali, auawa katika mapigano Ukraine

Ndio maana ya ushujaa Jenerali kufa kwenye vita, sio wale majenerali wa Ukraine wanawaamrisha kurutu kukaa mstari wa mbele thn wao wanakaa na phone tu, ndio maana majeshi wengi wa Ukraine kabla ya kuacha mapigano walilalamika kuwa wanapelekwa kwenye vita wakati makamanda wao hawapo ndani ya nchi wanakimbia

Huyu ni shujaa
Kinyonge sana umetoa hii comment.Umeshindwa kukana kwakuwa mwishoni mwa thread kuna Russia kuthibitisha kifo cha huyo General,vinginevyo ungekuja na kile kibwagizo chako pendwa cha 'propaganda za western media'.
 
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Italian journalist from Bakhmut the morale of the Ukrainian troops is low[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
 
Moderator unganisheni huu uzi kwenye ule mkuu wa vita ya urusi na ukraine
Uunganishwe ili iweje? Hivi nyinyi Pro Russia kila thread isiyowapendeza mnakimbilia kulia kwa Moderators waunganishe.Mmeshajivika jukumu la kuwafundisha moderators ufanyaji wa kazi.Acheni hizo,uzi utabaki hapa unajitegemea.

Moderator
 
Germany refuses to supply its tanks to Ukraine for fear of their "appearance" in Russia. They cannot trust Kiev‘ promises not to use them to attack Russian territory - Spiegel
 
Watu wanasema russia ni chui wakuchora kwenye karatasi pengine kuna logic hapa. Mashabiki wengi wa urusi wanaona kuwa russia hawezi shindwa kwenye vita. Hali hii ni matokeo ya propaganda ya russia kupitia patriotic war ambayo walishinda vita dhidi ya Hitler. Hali imekuwa tofauti huko mstari wa mbele kwani hatuoni hata morale boosting video zao vijana wa ukraine wamepigana kwelekweli sio mchezo.
Unataka morale ipi tena MKUU zaidi ya hii au kuna nyengine unayoitaka wewe !!!??
FB_IMG_16542554697688120.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uunganishwe ili iweje? Hivi nyinyi Pro Russia kila thread isiyowapendeza mnakimbilia kulia kwa Moderators waunganishe.Mmeshajivika jukumu la kuwafundisha moderators ufanyaji wa kazi.Acheni hizo,uzi utabaki hapa unajitegemea.

Moderator
hii sio thread ni point ingeingizwa kwenye uzi mkuu, mnachafua servers.
 
Unataka morale ipi tena MKUU zaidi ya hii au kuna nyengine unayoitaka wewe !!!??View attachment 2252377

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa uko royal Sana na russia superiority kuzani kuwa russia is undefeatable. Ni jambo la kawaida sana yule unaedhani nimkubwa kushindwa kukuempress hususani kwenye issue za medani. With Russia's military supremacy alipaswa awe ameimaliza kabisa nguvu ya ukraine na kufunga njia zote za ugavi ( supply ) lakini tunaona wakiendelea kujibiwa mapigo licha ya kufanya advancements
 
hii sio thread ni point ingeingizwa kwenye uzi mkuu, mnachafua servers.
Wewe ndiyo unajua zaidi kuliko wao,hizo servers zimeshindwa kuchafuka tangu 2006 zije zichafuke leo baada ya wewe kujoin JF.JF imekuwapo kabla hata hujaifahamu na moderators wanajua kazi yao vizuri sana.Kama huwezi kuvumilia mijadala kinzani,basi uko mahali si sahihi kwako
 
Umeniita tena ndugu yangu. Ukweli ni kuwa Kuanzia Major kwenda juu huwa haingii kwenye frontline, Ila Major na Luteni Kanali wako karibu kidogo na frontline kwa vile ndio wanaoongoza kombania. Kuanzia Kanali hadi general officesr wote hawako kwenye frontline kwani wale ni watu wa kupanga mikakati na kuongozi vikosi vikubwa ambavyo kwa formation ya kivita ni private hadi koplo ndio wanaokuwa msitali wa mbele zaidi wakiwa wanaongozwa na Sajenti.

Ila Urusi ni taifa tofauti kabisa kijeshi kwa vile jeshi lao ni la maofisa tu, Sasa hao maprivate hadi sajenti ni watu wa kupita tu kwa mktaba mfupi, wanaitwa conscripts. Kwahiyo hao siyo wataalamu wa mapigano ndiyo maana Makanali hadi majenerali wanajikuta wako kwenye frontline na kuuawawa. Tatizo kubwa sana katika muundo wa jeshi la Urusi, wao inaonekana walirithi ile filosofi ya jeshi la kizamani la vita ya pili ya dunia kuwa wingi wa vifaru, mizinga na ndege za kivita ndiyo ukali wa jeshi lenyewe. Ndiyo maana sasa hivi "special military operation" imekuwa "terrible quagmire."

Ni afadhali angeifanya hii special military operation mwaka 2014 ambapo Ukraine walikurupushwa unprepared kwa vile walikuwa wanaamini kuwa wanalindwa na ile Budapest Memorandum iliyowekwa saini na Rais wa Urusi wakati huo Yelstin, Rais wa Marekani Clinton na Rais wa Ukraine Kravchuk kuwa waigawie Urusi silaha zao za Nyuklia halafu Urusi itawalinda. Kichaa mmoja wa Urusi akaona ile memorandum ni karatasi tu akaivamia na kujimegea Crimea. Kuanzia pale Ukraine ingawa kwenye Katiba yao bado wana limit ya kuwa jeshi lisizidi wapiganaji 250,000, wakajifunza umuhimu wa kuwa na jeshi na wakaomba kufundishiwa jeshi la kisasa na Marekani. Kwa hiyo mzee Putin alipovamia, alikuta Ukraine imeshaaza kujenga jeshi la kisasa, wakati yeye analitea jeshi la 1948, ndiyo maana majenerali wanapukutika kama sisimizi waliomwagiwa petroli. Hiyo ni zaidi ya hao conscripts zaidi ya 23,000 pamoja na vifatu zaidi ya 1500. Pumzi ya Urusi inalindwa na wingi wa silaha waliza nazo pamoja na ukubwa wa jeshi lenyewe, vinginevyo sasa hivi jeshi lingekuwa kwenye drip.
hahahaaa jeshi kwenye drip ?
 
View attachment 2251853
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amepata pigo baada ya kumpoteza jenerali wa 11 katika mapambano dhidi ya Ukraine, aliyefariki ni Meja Jenerali Roman Kutuzov.

Inaelezwa gari lake lilishambuliwa wakati wa mapigano katika Mji wa Donbas. Kinatajwa kuwa kifo cha juu zaidi kwa waliofariki katika mapigano dhidi ya Ukraine, hivi karibuni.

Source: Daily Maily

===============

Vladimir Putin 'loses his 11th general' in Ukraine war as defenders 'ambush his vehicle in Donbas'

Vladimir Putin was today hit by the death of Russia’s 11th general in his bloody war with Ukraine.

Major-General Roman Kutuzov was the chief of staff of the 29th Combined Arms Army, according to reports.

His vehicle was ambushed by Ukrainians and he died in a fight in Donbas, say sources.

His death is the 11th general, but the first such high ranking army officer in more than a month.

In addition, at least 49 colonels have been killed in the war with Ukraine.

The latest was Lt-Col Zaur Dimayev, deputy commander of the 4th battalion of the Akhmat Kadyrov special forces regiment.

He was a close associate of Chechen leader Ramzan Kadyrov.

In 2020, Kutuzov was head of the headquarters of the combined arms formation of Russia’s sprawling Eastern Military District.

The previous general to be killed was Kanamat ’Flop Gun’ Botashev, 63.

He was a 'pensioner pilot' who was hit in his Su-25 after coming out of retirement to fly in Putin’s forces.

He was reportedly shot down by a Ukrainian Stinger missile.

There have been unconfirmed claims that Western countries are assisting Ukraine to target high-ranking Russian officers.

Russian sources say Kutuzov was killed in the area of Nikolaevka settlement, in the Popasnyansky district of the Luhansk People’s Republic, close to the frontline.
Eti kifo cha juu zaidi. Mwandishi wewe jamani.
 
Kwahiyo ulivyosoma TU happy juu umeamini mpaka na mwenzako nae unamwelekeza asome I'll see mbumbumbu kwa nondo za mbumbumbu.
Kwa akili ya kawaida TU hivi inawezekana ukatrain maafisa wengi kuliko NCO's?
NCO's ndio wapiganiaji halisi kibongobongo tunaita high kankara yaani wagumu, wakarakara.
Hao utawakuta mstari was mbele wakiwa either na kepteni, major au lutenkanali ambae huyu hupokea amri kutoka floor ya kimawasiliano kutoka juu kwenda chini,.
Humo mtoa amri, plani, na starategies Ni meja general ambae yeye Ni mtoa amri mkuu.
Kuna kitu inaitwa combania, section na brigade Sasa meja Jenerali ataongoza nini?
Nb.
Hakuna jeshi duniani ambapo meja Jenerali Ni mtu was kawaida ama was hadhi ya kawaida.
Duniani kote M jenerali ni ofisa was hadhi ya juu sana ambapo wengi ndo wale uwaonao meza kuu na mh rais.
Kama Meja jenerali siyo mtu wa kawaida kwa nini wanauwawa kama watu wa kawaida? Jeshi la urusi ni la officers tu,, kuanzia luteni usu (wao wanamwita Mládshiy leytenánt) hadi Marshall (Marshal Rossiyskoy Federatsii), hao wengine ni wa kupita tu. Kwa Urusi huwezi kukuta sajenti au private ambaye ametumikia jeshi kwa zaidi ya miaka mitano kabla ya vita hii ya Ukraine ambapo baada ya kuuwawa wengi, Duma (Bunge) limeongeza muda wa kuwaweka hao conscripts jeshini, ingawa wao wenyewe wengi hawataki. Kuna waliotoroka wakakimbilia Uturuki!
 
Ni hivi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

RUSSIAN FOREIGN MINISTER LAVROV SAYS THE LONGER THE RANGE OF WEAPONS SENT TO UKRAINE BY THE WEST, THE FURTHER RUSSIA WILL MOVE AWAY FROM ITS BORDER THE LINE FROM WHICH 'NEO-NAZIS' CAN LAUNCH STRIKES
Umeelewa kilichoandikwa?
 
Hizo habari za vifo ni za kupikika kuwafariji waukraine waendelee 😎😎
 
Umeniita tena ndugu yangu. Ukweli ni kuwa Kuanzia Major kwenda juu huwa haingii kwenye frontline, Ila Major na Luteni Kanali wako karibu kidogo na frontline kwa vile ndio wanaoongoza kombania. Kuanzia Kanali hadi general officesr wote hawako kwenye frontline kwani wale ni watu wa kupanga mikakati na kuongozi vikosi vikubwa ambavyo kwa formation ya kivita ni private hadi koplo ndio wanaokuwa msitali wa mbele zaidi wakiwa wanaongozwa na Sajenti.

Ila Urusi ni taifa tofauti kabisa kijeshi kwa vile jeshi lao ni la maofisa tu, Sasa hao maprivate hadi sajenti ni watu wa kupita tu kwa mktaba mfupi, wanaitwa conscripts. Kwahiyo hao siyo wataalamu wa mapigano ndiyo maana Makanali hadi majenerali wanajikuta wako kwenye frontline na kuuawawa. Tatizo kubwa sana katika muundo wa jeshi la Urusi, wao inaonekana walirithi ile filosofi ya jeshi la kizamani la vita ya pili ya dunia kuwa wingi wa vifaru, mizinga na ndege za kivita ndiyo ukali wa jeshi lenyewe hivyo hakuna haja ya kuwa na askari wa miguuni. Ndiyo maana sasa hivi "special military operation" imekuwa "terrible quagmire."

Ni afadhali angeifanya hii special military operation mwaka 2014 ambapo Ukraine walikurupushwa unprepared kwa vile walikuwa wanaamini kuwa wanalindwa na ile Budapest Memorandum iliyowekwa saini na Rais wa Urusi wakati huo Yelstin, Rais wa Marekani Clinton na Rais wa Ukraine Kravchuk kuwa waigawie Urusi silaha zao za Nyuklia halafu Urusi itawalinda. Kichaa mmoja wa Urusi akaona ile memorandum ni karatasi tu akaivamia na kujimegea Crimea. Kuanzia pale Ukraine ingawa kwenye katiba yao bado wana limit ya kuwa jeshi lisizidi wapiganaji 250,000, wakajifunza umuhimu wa kuwa na jeshi na wakaomba kufundishiwa jeshi la kisasa na Marekani. Kwa hiyo mzee Putin alipovamia, alikuta Ukraine imeshaaza kujenga jeshi la kisasa, wakati yeye analeta jeshi la 1948, ndiyo maana majenerali wanapukutika kama sisimizi waliomwagiwa petroli. Hiyo ni zaidi ya hao conscripts zaidi ya 23,000 pamoja na vifaru zaidi ya 1500. Pumzi ya Urusi inalindwa na wingi wa silaha walizo nazo pamoja na ukubwa wa jeshi lenyewe, vinginevyo sasa hivi jeshi lingekuwa kwenye drip.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji119]
 
Back
Top Bottom