Putin ampoteza Meja Jenerali, auawa katika mapigano Ukraine

Kinyonge sana umetoa hii comment.Umeshindwa kukana kwakuwa mwishoni mwa thread kuna Russia kuthibitisha kifo cha huyo General,vinginevyo ungekuja na kile kibwagizo chako pendwa cha 'propaganda za western media'.
 
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Italian journalist from Bakhmut the morale of the Ukrainian troops is low[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
 
Moderator unganisheni huu uzi kwenye ule mkuu wa vita ya urusi na ukraine
Uunganishwe ili iweje? Hivi nyinyi Pro Russia kila thread isiyowapendeza mnakimbilia kulia kwa Moderators waunganishe.Mmeshajivika jukumu la kuwafundisha moderators ufanyaji wa kazi.Acheni hizo,uzi utabaki hapa unajitegemea.

Moderator
 
Germany refuses to supply its tanks to Ukraine for fear of their "appearance" in Russia. They cannot trust Kiev‘ promises not to use them to attack Russian territory - Spiegel
 
Unataka morale ipi tena MKUU zaidi ya hii au kuna nyengine unayoitaka wewe !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uunganishwe ili iweje? Hivi nyinyi Pro Russia kila thread isiyowapendeza mnakimbilia kulia kwa Moderators waunganishe.Mmeshajivika jukumu la kuwafundisha moderators ufanyaji wa kazi.Acheni hizo,uzi utabaki hapa unajitegemea.

Moderator
hii sio thread ni point ingeingizwa kwenye uzi mkuu, mnachafua servers.
 
Unataka morale ipi tena MKUU zaidi ya hii au kuna nyengine unayoitaka wewe !!!??View attachment 2252377

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa uko royal Sana na russia superiority kuzani kuwa russia is undefeatable. Ni jambo la kawaida sana yule unaedhani nimkubwa kushindwa kukuempress hususani kwenye issue za medani. With Russia's military supremacy alipaswa awe ameimaliza kabisa nguvu ya ukraine na kufunga njia zote za ugavi ( supply ) lakini tunaona wakiendelea kujibiwa mapigo licha ya kufanya advancements
 
hii sio thread ni point ingeingizwa kwenye uzi mkuu, mnachafua servers.
Wewe ndiyo unajua zaidi kuliko wao,hizo servers zimeshindwa kuchafuka tangu 2006 zije zichafuke leo baada ya wewe kujoin JF.JF imekuwapo kabla hata hujaifahamu na moderators wanajua kazi yao vizuri sana.Kama huwezi kuvumilia mijadala kinzani,basi uko mahali si sahihi kwako
 
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Italian journalist from Bakhmut the morale of the Ukrainian troops is low[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Hata uweke majambia bado haimsaidii Putin
 
hahahaaa jeshi kwenye drip ?
 
Eti kifo cha juu zaidi. Mwandishi wewe jamani.
 
Kama Meja jenerali siyo mtu wa kawaida kwa nini wanauwawa kama watu wa kawaida? Jeshi la urusi ni la officers tu,, kuanzia luteni usu (wao wanamwita Mládshiy leytenánt) hadi Marshall (Marshal Rossiyskoy Federatsii), hao wengine ni wa kupita tu. Kwa Urusi huwezi kukuta sajenti au private ambaye ametumikia jeshi kwa zaidi ya miaka mitano kabla ya vita hii ya Ukraine ambapo baada ya kuuwawa wengi, Duma (Bunge) limeongeza muda wa kuwaweka hao conscripts jeshini, ingawa wao wenyewe wengi hawataki. Kuna waliotoroka wakakimbilia Uturuki!
 
Umeelewa kilichoandikwa?
 
Hizo habari za vifo ni za kupikika kuwafariji waukraine waendelee 😎😎
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…