Putin ampoteza Meja Jenerali, auawa katika mapigano Ukraine

Afu kwenye uzi wao kule.. wanamuona anatoa nondo hatari[emoji16]
Kama kuna uzi umebaki kuwa kituko ni ule wa Live,wana Ulimwengu wao peke yao.Wameshatengeneza battle field ya comment,wanapigana vita ya comment hatari, halafu wanajipa ushindi wenyewe.Ukishakuwa pro Putin unahitaji maombi ya ziada kuikwamua akili yako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kufa amekufa kama wanavyokufa Ukraine. Vita haina macho na inaleta hasara sehemu zote. Ingekuwa vema kama hii vita ingekoma. Waongee kama ndugu na kyajenga. Mwisho wa siku hakuna anayefaidika. Tunadanganyana tu. Kama Stalin na Lenin lost it...hata hawa pia wanaenda kule kule. They have a lot in common. Please stop this war madness in your heads you guys in Russia and Ukraine
 
anampongeza? yeye atakwenda lini Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…