Putin amzawadia Rais wa Zimbabwe Helikopta

Rais Putin wa Russia amzawadia Chopa Rais wa Zimbabwe na kuahidi makubwa kwa Rafiki zake waliohudhuria mkutano Tanzania ikiwemo

Source: BBC
Msioamini hawa ni makomredi wa vita. Kama ulibahatika kuona ile picha putin akiwa kijana mdogo mkufunzi wa wapigania uhuru bagamoyo utamuona putin, samora machel, na huyu rais wa sasa wa zimbabwe.
 
Hivi ni lazima sisi ndio twende kwao? Sometime waje Africa na wao sio Kila mwaka sisi ndio viguu na njia
Bora waende hukohuko maana hao wageni wakija kwetu tusio husika tunakuwa wafungwa barabarani,
Pia huyo jamaa akija kwako inakulazimisha umkamate hivyo unaibua ugomvi Kati ya icc au Russia wenyewe.
 
Sio mbaya...
 
Upuuzi
 
Madikteta yanapeana vizawadi ghafla yamekuwa binadamu kuliko wanaoilisha familia yako ARVs angalau isogeze siku? Think twice.
US wanakulisha wewe na familia yako. Mimi siwezi kulishwa na Mashoga. Eti ARV waache walete hizo ARV hata ukimwi walileta wao. US ni mbwa kabisa hawana ubinadamu wowote nawafahamu kuliko unavyowafahamu. Warusi ni binadamu zaidi tu kuliko mashoga wenzio hao.
 
Kuna vitu vya kusaidiwa lakini ssi helikopta ya kutumia Rais...
 
Yani huyu Russia anajifanya mwema sana kwa watu wa mbali huku Africa huku ameshindwa kuelewana na majirani zake pale Ukrain
 
Ndio iyo mbona side mirror 🪞 imepasuka?
 
Bora waende hukohuko maana hao wageni wakija kwetu tusio husika tunakuwa wafungwa barabarani,
Pia huyo jamaa akija kwako inakulazimisha umkamate hivyo unaibua ugomvi Kati ya icc au Russia wenyewe.
Umesahau wakijaga wanajikatia mapori na wanyama wake
 
Msioamini hawa ni makomredi wa vita. Kama ulibahatika kuona ile picha putin akiwa kijana mdogo mkufunzi wa wapigania uhuru bagamoyo utamuona putin, samora machel, na huyu rais wa sasa wa zimbabwe.
Uongo,
Putin hajawahi kufika Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…