Putin amzawadia Rais wa Zimbabwe Helikopta

Putin amzawadia Rais wa Zimbabwe Helikopta

Hata kupewa ngano ni aibu kubwa kwa hayo mataifa na kwa Afrika nzima, yaani hatuwezi hata kujilisha!!!
Wanaleta ngano iliyowadodea sababu ya vikwazo vya kibiashara
 
Ulishaona shirika la misaada la urusi popote Afrika ikiwemo Tanzania?
Kwa taarifa yako silaha zetu zote ni kutoka Urusi na China. Hivyo Warusi na China ndio marafiki wa kweli kwa nchi yetu achana na hao mashoga US na NATO misaada yao ni ya kuendeleza ushoga tu.
 
UONGO
Kwa taarifa yako silaha zetu zote ni kutoka Urusi na China. Hivyo Warusi na China ndio marafiki wa kweli kwa nchi yetu achana na hao mashoga US na NATO misaada yao ni ya kuendeleza ushoga tu.
 
60% ya ardhi inayofaa kwa kilimo duniani ipo Africa. Waafrika haohao wanaenda Russia kuomba chakula na misaada kadhaa. Aibu kubwa.
 
Back
Top Bottom