Putin anakumbusha NATO kuwa wasimsaidie Ukraine silaha. Ama sivyo wataona cha moto

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Sasa hapa nachanganyikiwa. Sisi huku tunasema Ukraine anasaidiwa na NATO. Putin anasema bado ila wakijaribu atawapasua. Sasa lipi ni lipi?
1. Je Ukraine anasaidiwa na NATO?
2. Je Onyo ambalo alitoa Putin kuwa wakisaidiwa atasambaza kipigo kwa msaidizi halifanyi kazi?

Screenshot_2024-10-29-03-12-21-907_com.twitter.android~2.jpg

Amesema wawasaidie ila Silaha hizo zisipige ndani ya Urusi hilo ni onyo kwa hio watambue madhara ikigundulika Silaha hizo ni za West pataumana lazima akinukishe tu
 
sasa kama silaha anazopewa UKRAINE na NATO zinamsumbua Mrusi imekaaje hapo eti anawachimba mkwara? huu uzi wako umeuleta kimahaba sana angalia lugha vzuri maana unampakazia emondo .
 
Sasa hapa nachanganyikiwa. Sisi huku tunasema Ukraine anasaidiwa na NATO. Putin anasema bado ila wakijaribu atawapasua. Sasa lipi ni lipi?
1. Je Ukraine anasaidiwa na NATO?
2. Je Onyo ambalo alitoa Putin kuwa wakisaidiwa atasambaza kipigo kwa msaidizi halifanyi kazi?

Labda wewe bwege ni mgeni wa hii conflict. Kwenye geopolitics Ukraine na Russia ni same people hata kihistoria wamekuwa pamoja ndani ya USSR hadi 1989 eastern block ilipovunjika.

USA kwa kofia ya NATO ndiyo amekuwa anatfuta kupunguza nguvu za Russia kwa kuchochea migogoro ya Don bass na Luhansk. Na hizi chokochoko zimeanza zaidi ya miaka 10 iliyopita.

Vladmir Putin amekuwa akitaka makubaliano ya Ronald Reagan na Helmut Kohl ya mwaka 1989 yafuatwe kuhusu NATO kutoongeza hata sentimeta moja ya ardhi kutoka kwa wanachama wao.

Vilevile kuna Minsk 1 and 2 Agreement kati ya Ukraine na Russia juu ya Donbass region ya mwaka 1991 na 2015 ambazo Zelensky alichuuzwa akaingia kichwaķichwa na kusababisha vita. Zelenskys na Ukraine hawana uwezo na vita hivi bali Joe Biden na Marekani ndiyo wenye maamuzi.

Usijidanganye kwamba Russia inapigana na Ukraine, No ni Russia against USA and NATO allies kwenye ardhi ya Ukraine
 
Bwege kweli dogo. Huelewi haya mambo unadanganywa na sheikh kitinku hufikirii unabeba kama ilivyo.... Za kuambiwa changanya na zako.
 
Wewe pimbi unaniita dogo?? Angalia nisijekuwa baba yako mdogo kiumri?? Mimi nimekuja kwa hoja, na wewe nijibu kwa hoja na siyo hiyo "sweeping statement"
 
Nyie madogo wa 2000s kizazi cha Kikwete huwa mnajitutumua SANA.KICHWANI HAMNA KITU DIVISION 5
 
Back
Top Bottom