Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mpaka uwe na akili ndo utaelewa. Yaani hapa napo mnatafuta excuse?Hapa Mkuu ni lugha tu ndio imekushinda kuelewa.
Hapa Mkuu ni lugha tu ndio imekushinda kuelewa.
Ndugu futa uzi!
Umejiabisha vibaya sana!
Amesema wawasaidie ila Silaha hizo zisipige ndani ya Urusi hilo ni onyo kwa hio watambue madhara ikigundulika Silaha hizo ni za West pataumana lazima akinukishe tu
Amesema wawasaidie ila Silaha hizo zisipige ndani ya Urusi hilo ni onyo kwa hio watambue madhara ikigundulika Silaha hizo ni za West pataumana lazima akinukishe tu
Amesema zisipige ndani ya Urusi lugha ngumu au? Au "inside Russia" unaelewa maana yake?Ukraine uses US weapons to strike inside Russia, according to a senator and a Western official
The official was not authorized to comment publicly on the sensitive matter and spoke on condition of anonymity.apnews.com
Wewe bwege kweli so Ukraine anapewa ili zipige ndani ya Ukraine?Amesema zisipige ndani ya Urusi lugha ngumu au? Au "inside Russia" unaelewa maana yake?
Mpaka uwe na akili ndo utaelewa. Yaani hapa napo mnatafuta excuse?Hapa Mkuu ni lugha tu ndio imekushinda kuelewa.
Mpaka uwe na akili ndo utaelewa. Yaani hapa napo mnatafuta excuse? So Ukraine anapewa silaha azitumie kujipiga ndani mwake?🤣🤣🤣🤣Hapa Mkuu ni lugha tu ndio imekushinda kuelewa.
Labda wewe bwege ni mgeni wa hii conflict. Kwenye geopolitics Ukraine na Russia ni same people hata kihistoria wamekuwa pamoja ndani ya USSR hadi 1989 eastern block ilipovunjika.Sasa hapa nachanganyikiwa. Sisi huku tunasema Ukraine anasaidiwa na NATO. Putin anasema bado ila wakijaribu atawapasua. Sasa lipi ni lipi?
1. Je Ukraine anasaidiwa na NATO?
2. Je Onyo ambalo alitoa Putin kuwa wakisaidiwa atasambaza kipigo kwa msaidizi halifanyi kazi?
Ukraine uses US weapons to strike inside Russia, according to a senator and a Western official
The official was not authorized to comment publicly on the sensitive matter and spoke on condition of anonymity.apnews.com
Mpaka uwe na akili ndo utaelewa. Yaani hapa napo mnatafuta excuse? So Ukraine anapewa silaha azitumie kujipiga ndani mwake?🤣🤣🤣🤣
View attachment 3138318View attachment 3138319Bado hujatambua
Bwege kweli dogo. Huelewi haya mambo unadanganywa na sheikh kitinku hufikirii unabeba kama ilivyo.... Za kuambiwa changanya na zako.Labda wewe bwege ni mgeni wa hii conflict. Kwenye geopolitics Ukraine na Russia ni same people hata kihistoria wamekuwa pamoja ndani ya USSR hadi 1989 eastern block ilipovunjika.
USA kwa kofia ya NATO ndiyo amekuwa anatfuta kupunguza nguvu za Russia kwa kuchochea migogoro ya Don bass na Luhansk. Na hizi chokochoko zimeanza zaidi ya miaka 10 iliyopita.
Vladmir Putin amekuwa akitaka makubaliano ya Ronald Reagan na Helmut Kohl ya mwaka 1989 yafuatwe kuhusu NATO kutoongeza hata sentimeta moja ya ardhi kutoka kwa wanachama wao.
Vilevile kuna Minsk 1 and 2 Agreement kati ya Ukraine na Russia juu ya Donbass region ya mwaka 1991 na 2015 ambazo Zelensky alichuuzwa akaingia kichwaķichwa na kusababisha vita. Zelenskys na Ukraine hawana uwezo na vita hivi bali Joe Biden na Marekani ndiyo wenye maamuzi.
Usijidanganye kwamba Russia inapigana na Ukraine, No ni Russia against USA and NATO allies kwenye ardhi ya Ukraine
Wewe pimbi unaniita dogo?? Angalia nisijekuwa baba yako mdogo kiumri?? Mimi nimekuja kwa hoja, na wewe nijibu kwa hoja na siyo hiyo "sweeping statement"Bwege kweli dogo. Huelewi haya mambo unadanganywa na sheikh kitinku hufikirii unabeba kama ilivyo.... Za kuambiwa changanya na zako.
Nyie madogo wa 2000s kizazi cha Kikwete huwa mnajitutumua SANA.KICHWANI HAMNA KITU DIVISION 5Wewe pimbi unaniita dogo?? Angalia nisijekuwa baba yako mdogo kiumri?? Mimi nimekuja kwa hoja, na wewe nijibu kwa hoja na siyo hiyo "sweeping statement"