Putin anapata tabu sana kwa mashambulizi ya Ukraine nchini mwake!!

Putin anapata tabu sana kwa mashambulizi ya Ukraine nchini mwake!!

M

Ukrainian attacks won’t stop Russian advance – Putin​


Published 28 Jun, 2026

​

Russia pounds on the gates of Ukraine's 'fortress belt'​


June 29, 2026

​

Russian troop build-up threatens city seen as key to seizing Ukraine's Donbas​

Russian troops have infiltrated the strategic city of Kostyantynivka in eastern Ukraine and are now trying to surround it.

Miaka 5 sasa Putin anasonga mbele tu? Putin vita vimemshinda na sasa Moscow haiwezi kuwepo kupigwa na Drones za Ukraine!!!!!!!! Slava Ukraine!!!
 
Yani nyie wachambuzi wa vita kutoka Chanika mnajifanya mnaa akili kuliko Putin mwenyewe sio..!
Russia sio mara ya kwanza anapigana vita vya muda mrefu,ana uzoefu na anachokifanya..
Screenshot_20260629-140842.png
 
Uongo huu,


Polling by independent organizations like the Levada Center highlights that a majority of Russians now favor peace talks and a negotiated end to the fighting.

This shift is driven by the growing economic costs and the human toll of the conflict...
Taarifa kama hii wakiipata jihadists wanakaa pale masjid ubwabwa na kuipindua juu chini kisha wanairusha humu na kusomeka kivingine kabisa.
 
Kwa kifupi mwisho wa putin umeshakaribia na kinachomwogopesha putin sio zelesky wala ukraine ni ile inner cycle ya wstu wake wa karibu alushapewa taarifa fsb wanapanga assasintation muda wowote atauwaw

Taarifa za ndani zinasema kwa sasa putin anaishi kwa kujificha ndani ya bumkers na kwa muda mrefu ameacha kutembelea eneo la presidential area na nyumbani kwake na mbaya zaidi ndani ya jeshi lake wanamfanyia hujuma na ndio wanatoa location na wanampatia zelesky silaha za kupiga ndani ya urusi
.
Na ikumbukwe ya kwamba kabla ya vita vya ukraine na urusi maadui wengi wa putin walikimbilia ukraine kipindi cha vita alluminium war among russian oligach
Hii akili ya kwamba aina fulani ya watu ndo wanapwa kutawala wengine ni ya hovyo na haijawahi weka watawala kuongoza kwa amani. Madikteta wamepumbazwa sana na mentality hiyo. Nchi moja raia ni walewale lakini unakuta kuna baadhi ya watu hawataki wengine watawale hata kama raia wanataka. Hii ni sawa na Tanzania kwamba mtu kutoka ccm tu ndio anapaswa kutawala Tanzania. Hayo ni mawazo ya kijinga ambayo hayatakuja kuleta utulivu nchini. Ubinafsi wa aina hiyo ndio unamkosti Putin na ndio unaowafanya akina kikwete na ccm yao waue raia watanzania kisa hawataki hao ambao sio ccm wawe wabunge, madiwani au marais katika nchi yao. Nchi kubwa zenye uchumi imara na ustaarabu wa juu zilizotufikisha hadi kwenye sayansi ya AI zimetuonyesha kwamba demokrasia ya kweli ndo njia pekee ya raia kuishi kwa furaha ndani ya nchi yao. Akina kikwete wamezunguka sana kwenye mataifa hayo lakini huku kwao wanaendekeza siasa za kuiba kura ili watu wengine wasipate nafasi za kutawala kisa sio ccm.
 
Yani nyie wachambuzi wa vita kutoka Chanika mnajifanya mnaa akili kuliko Putin mwenyewe sio..!
Russia sio mara ya kwanza anapigana vita vya muda mrefu,ana uzoefu na anachokifanya..
Vita vya muda mrefu vikubwa ilikuwa Vita vya pili vya dunia miaka minne na Sasa Ukraine kashavumilia hiyo miaka mine Putin kazi anayo
 
miaka 4 sasa
Yeah; Zele ameonesha ushupavu wa hali ya juu kuukataa udikteta hata kama ni kutoka kwa supapawa. Putin miguu imelegea au imelemazwa sana. Anaogopa aibu ya kuomba poo kwani alishajigamba vita hiyo ni OP ya masaa 72 tu. Leo miaka 4 Ukraine imemsimamia kidedea.
 
Putin alianzisha vita ambayo haiwezi kabisa bora akubali yaishe tunakoelekea ataangukia pua
Acha unafiki, mbona Israel na US nayo walianzisha vita iliyowashinda? imeshindwa kupindua nchi wala kuchukua enriched nuclear!! Si ukawashauri wale kwanza.
 
RUSSIA inataka kuendelea na Vita kwasasa Wananchi wa RUSSIA wanatamani zaidi kwenda Vitani tofauti na uko nyuma👈

sio muda Ukraine itachapika vibaya 👈
Ukiripoti kutoka matombo.... wew joji maratoo wa aitiv
 
Back
Top Bottom