kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Malizia alitawala mpaka marekani [emoji28][emoji28][emoji28]Watu wanamchukulia poa sana muingereza. Ila muingereza ni hatari sana ktk propaganda. Na tukumbuke muingereza alliweza kuitawala nchi nyingi za dunia hii
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Labda akubali kukabidhi majimbo aliyojitangazia ndo muda wakuyachukua hataki Putin ,sebene liendeleeKwa mtu anayejua geopolitics vizuri, ni MUNGU tu ndio anaweza kuidondosha Russia, soon watakaa kwenye mazungumzo na vita itaisha...mageuzi ya $ yaja!
zelensky mwazo hakujua kwann ulaya hawataki kufunga anga Sasa atakua ameelewa ukifunga anga urusi asingesomwaAs I had talked somewhere in others threads, wameshaisoma vizuri zaidi Russian its time to scramble this stupid giant and immersing this dude to blacksea.
Kombora lililotandika hiyo meli ya kivita ya kirusi linaitwa Neptune Anti Ship Cruise Missile limetengenezwa na wa Ukraine wenyewe na kujaribiwa mwaka jana tu.Lilijaribiwa maporini likarudishwa ghalaniPutin maji ya shingo ngoja tuone ujanja wake
Hivi unadhani hapo hakuna mkono wa muingereza au US, bila hao Ukrein ingekuwa na hali ngumuIla Rusia nao wanatia aibu sasa nchi km ile ilipigana vyema sana vita ya pili ya dunia na Sisi tukaiheshimu mpaka sasa. Leo wanapigika kizembe kweli kweli.. huu ni upuuzi.. ama ndo kuna watu wamejificha kwa mgongo wa ukraine ndo wanamtandika kimya kimya mrusi.
Acha kumlinganisha Trump na matakataka, Trump sio mtu wa vitaHajatokea Mtawala mpumbavu toka Taifa kubwa Kwa miongo 2 iliyopita kama Putin. Yaan hata Trump ana nafuu kubwa.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dadadeki, bado Kiduku, hao wajinga machuma yao waliyaona ni Bora, kumbe holaKombora lililotandika hiyo meli ya kivita ya kirusi linaitwa Neptune Anti Ship Cruise Missile limetengenezwa na wa Ukraine wenyewe na kujaribiwa mwaka jana tu.Lilijaribiwa maporini likarudishwa ghalani
Kwenye vita halisi ndio linatumika kwa mara ya kwanza kwenye kichwa cha Putin na limefanikiwa na kuwacha Putin Hoi na Jeshi lake
Uhai wake uko mashakani piaMeli ya kivita ya urusi Moskva flag ship imegeuzwa kuwa Nyambizi na waukraini.
Hii ni taarifa mbaya sana kwa Warusi na kwa ujumla meli hii ilikuwa ndiyo nembo kuu ya urusi huko black Sea.
Vita ya Ukraini vimeiexpose Urusi na kuwaacha utupu wa mnyama.
Aibu kubwa kwa Putin na kwa Hali inavyoendelea itabidi arudi nyuma zaidi ili ajisalimishe kiusalama maana Mwingereza tayari ameanza kufanya yake.
Wakati wa Vita baridi meli hii ilibeba nyuklia pia na kulingana na tension ya Vita hii ya Ukraine inawezekana all personally na silaha zote zimelamba tope. Urusi inabidi ijitafakari na ielewe kabisa dunia ya Leo haiendeshwi na washamba.
View attachment 2187976
Picha kwa hisani ya mtandao.
View attachment 2188250
#Wahuni siyo watu.
Dume mkubwa hupigwa na dume mdogo kimzahaIla Rusia nao wanatia aibu sasa nchi km ile ilipigana vyema sana vita ya pili ya dunia na Sisi tukaiheshimu mpaka sasa. Leo wanapigika kizembe kweli kweli.. huu ni upuuzi.. ama ndo kuna watu wamejificha kwa mgongo wa ukraine ndo wanamtandika kimya kimya mrusi.
Mimi nimependa hii nilikua nashangaa inakuaje Ukraine anashindwa kurudisha majibu hata kidogoKombora lililotandika hiyo meli ya kivita ya kirusi linaitwa Neptune Anti Ship Cruise Missile limetengenezwa na wa Ukraine wenyewe na kujaribiwa mwaka jana tu.Lilijaribiwa maporini likarudishwa ghalani
Kwenye vita halisi ndio linatumika kwa mara ya kwanza kwenye kichwa cha Putin na limefanikiwa na kuwacha Putin Hoi na Jeshi lake
Si ndo wamesema ajali ya moto ndo chanzo.Hiyo meli kila mrusi alikuwa anaiju na kujivunia kuwa ndilo baba Lao kwenye vita
kuharibiwa Kwake imani ya warusi kwa Jeshi lao na Putin itashuka na morale ya wanajeshi utashuka
Kila siku nasemaga hapa,hakuna Nchi inayomfikia kwa Fitna Muingereza hata Marekani akasome.Watu wanamchukulia poa sana muingereza. Ila muingereza ni hatari sana ktk propaganda. Na tukumbuke muingereza alliweza kuitawala nchi nyingi za dunia hii
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Akili zinaanza kuwarudi baada ya kugundua Urusi ni supapawa wa mchongo kuanzia economically, socially hadi military.Binafsi nilimpenda Putin ila dunia ya sasa haihitaji vita kwa sababu za kijinga kama zake.
Sisi binadamu wa sasa tumefikia level nzuri ya ustaarabu.
Ndugu yangu humu ndani Kuna mazuzu wengi Sana ,wanadhani Urusi nikama BurundiKwa mtu anayejua geopolitics vizuri, ni MUNGU tu ndio anaweza kuidondosha Russia, soon watakaa kwenye mazungumzo na vita itaisha...mageuzi ya $ yaja!
Vita ya pili walipigana vizuri baada ya msaada wa Marekani hv unajua Ulaya nzima Ujerumani akishaishika huko Asia Japani alishakaribia kufika India. Marekani asingeingia ile vita Ulaya leo wangekuwa wanaongea Kijerumani na Asia wanaongea kijapanIla Rusia nao wanatia aibu sasa nchi km ile ilipigana vyema sana vita ya pili ya dunia na Sisi tukaiheshimu mpaka sasa. Leo wanapigika kizembe kweli kweli.. huu ni upuuzi.. ama ndo kuna watu wamejificha kwa mgongo wa ukraine ndo wanamtandika kimya kimya mrusi.
Okey, meli Vita tegemeo ndiyo hiyo imelambishwa tope. Endelea kudharau mwiba.Ndugu yangu humu ndani Kuna mazuzu wengi Sana ,wanadhani Urusi nikama Burundi
Hapana mkuu kuna watu wako nyuma ya dume mdogo maana russia sio ya mchezo chezoDume mkubwa hupigwa na dume mdogo kimzaha
Sawa mkuu ila pia russia ndo ilikua na jeshi lililomsumbua ujerumani kaangalie vita ya mji wa stalingrad hapo mjerumani ndo alipo chemka kwenye vita ya pili ndo watu wakajua kumbe huyu mjerumani anapigika tu.Vita ya pili walipigana vizuri baada ya msaada wa Marekani hv unajua Ulaya nzima Ujerumani akishaishika huko Asia Japani alishakaribia kufika India. Marekani asingeingia ile vita Ulaya leo wangekuwa wanaongea Kijerumani na Asia wanaongea kijapan