Putin anazidi kuiharibu Urusi. Baada ya meli yake kuzama naamini uungwaji mkono wa Putin nchini mwake utapungua.

Putin maji ya shingo ngoja tuone ujanja wake
Kombora lililotandika hiyo meli ya kivita ya kirusi linaitwa Neptune Anti Ship Cruise Missile limetengenezwa na wa Ukraine wenyewe na kujaribiwa mwaka jana tu.Lilijaribiwa maporini likarudishwa ghalani

Kwenye vita halisi ndio linatumika kwa mara ya kwanza kwenye kichwa cha Putin na limefanikiwa na kuwacha Putin Hoi na Jeshi lake
 
Ila Rusia nao wanatia aibu sasa nchi km ile ilipigana vyema sana vita ya pili ya dunia na Sisi tukaiheshimu mpaka sasa. Leo wanapigika kizembe kweli kweli.. huu ni upuuzi.. ama ndo kuna watu wamejificha kwa mgongo wa ukraine ndo wanamtandika kimya kimya mrusi.
Hivi unadhani hapo hakuna mkono wa muingereza au US, bila hao Ukrein ingekuwa na hali ngumu
 
Kombora lililotandika hiyo meli ya kivita ya kirusi linaitwa Neptune Anti Ship Cruise Missile limetengenezwa na wa Ukraine wenyewe na kujaribiwa mwaka jana tu.Lilijaribiwa maporini likarudishwa ghalani

Kwenye vita halisi ndio linatumika kwa mara ya kwanza kwenye kichwa cha Putin na limefanikiwa na kuwacha Putin Hoi na Jeshi lake
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dadadeki, bado Kiduku, hao wajinga machuma yao waliyaona ni Bora, kumbe hola
 
Meli ya kivita ya urusi Moskva flag ship imegeuzwa kuwa Nyambizi na waukraini.

Hii ni taarifa mbaya sana kwa Warusi na kwa ujumla meli hii ilikuwa ndiyo nembo kuu ya urusi huko black Sea.

Vita ya Ukraini vimeiexpose Urusi na kuwaacha utupu wa mnyama.

Aibu kubwa kwa Putin na kwa Hali inavyoendelea itabidi arudi nyuma zaidi ili ajisalimishe kiusalama maana Mwingereza tayari ameanza kufanya yake.

Wakati wa Vita baridi meli hii ilibeba nyuklia pia na kulingana na tension ya Vita hii ya Ukraine inawezekana all personally na silaha zote zimelamba tope. Urusi inabidi ijitafakari na ielewe kabisa dunia ya Leo haiendeshwi na washamba.

View attachment 2187976
Picha kwa hisani ya mtandao.

View attachment 2188250
#Wahuni siyo watu.
Uhai wake uko mashakani pia
 
Kombora lililotandika hiyo meli ya kivita ya kirusi linaitwa Neptune Anti Ship Cruise Missile limetengenezwa na wa Ukraine wenyewe na kujaribiwa mwaka jana tu.Lilijaribiwa maporini likarudishwa ghalani

Kwenye vita halisi ndio linatumika kwa mara ya kwanza kwenye kichwa cha Putin na limefanikiwa na kuwacha Putin Hoi na Jeshi lake
Mimi nimependa hii nilikua nashangaa inakuaje Ukraine anashindwa kurudisha majibu hata kidogo
 
Hiyo meli kila mrusi alikuwa anaiju na kujivunia kuwa ndilo baba Lao kwenye vita

kuharibiwa Kwake imani ya warusi kwa Jeshi lao na Putin itashuka na morale ya wanajeshi utashuka
Si ndo wamesema ajali ya moto ndo chanzo.
 
Kwa mtu anayejua geopolitics vizuri, ni MUNGU tu ndio anaweza kuidondosha Russia, soon watakaa kwenye mazungumzo na vita itaisha...mageuzi ya $ yaja!
Ndugu yangu humu ndani Kuna mazuzu wengi Sana ,wanadhani Urusi nikama Burundi
 
Ila Rusia nao wanatia aibu sasa nchi km ile ilipigana vyema sana vita ya pili ya dunia na Sisi tukaiheshimu mpaka sasa. Leo wanapigika kizembe kweli kweli.. huu ni upuuzi.. ama ndo kuna watu wamejificha kwa mgongo wa ukraine ndo wanamtandika kimya kimya mrusi.
Vita ya pili walipigana vizuri baada ya msaada wa Marekani hv unajua Ulaya nzima Ujerumani akishaishika huko Asia Japani alishakaribia kufika India. Marekani asingeingia ile vita Ulaya leo wangekuwa wanaongea Kijerumani na Asia wanaongea kijapan
 
Sawa mkuu ila pia russia ndo ilikua na jeshi lililomsumbua ujerumani kaangalie vita ya mji wa stalingrad hapo mjerumani ndo alipo chemka kwenye vita ya pili ndo watu wakajua kumbe huyu mjerumani anapigika tu.
 
Back
Top Bottom