Putin anusurika jaribio la mauaji

aseee sikudhania mtu kama wewe naye utakuwa na uelewa hafifu.
Darasa la 7D mimi nitaachaje kuwa na uelewa hafifu mkuu na elimu yetu hii ya shida isiyotufundisha kufikiri kwa kina na kuchambua mambo critically. Nyinyi wenye welewa mpana ndiyo muwe mnatufafanulia mambo sasa ili na sisi tuelewe. Msiishie tu kutucheka! 😁😁😁😁
 

Mbona mnakazania sana kutangaza jaribio la kutaka kumutoa pumzi Putin, conveniently avoiding to mention about the accident yenye utata mkubwa iliyo muhusu Zelensky hivi karibuni, mpo kimya kabisa - kazi yenu ni ku-waste mega calories talking about Putin - Putin,Putin 24X7!!! Source?? metro.co.uk - who knows kesho mtatujia na Mickey Mouse storis zipi, si ajabu mkasema madaktari wa US/UK wamedokezwa na CIA,FBI na MI6 kwamba kumbe Putin ni Alien ndio maana moyo wake hupo upande wa kulia sio upande wa kushoto kama binadamu wengi tulivyo umbwa,halafu mkategemea kwamba watu walio na akili timamu wanaweza kuchotwa akili kivile.
 

Ajali ni tofauti na jaribio la kuuawa kwa supapawa president, inashangaza sana sasa rais wa supapawa kwenye nchi yake anaishi maisha ya tabu ya kujificha ficha kama kibaka....
 
Ajali ni tofauti na jaribio la kuuawa kwa supapawa president, inashangaza sana sasa rais wa supapawa kwenye nchi yake anaishi maisha ya tabu ya kujificha ficha kama kibaka....

Wakati mwingine usiwe unakuwa overly driven na rabid hatred yako kumuhusu Putin - mpaka unafikia hatua ya kutoa comments zinazo shangaza kidogo, hivi inaingia akilini kwamba ajali haiwezi kutumika kumtoa pumzi mkuu wa nchi, sasa sijui kama unayasema haya kimakusudi au?? Badala ya kuleta taarifa zilizo nyooka wewe una kawaida ya kuongeza madolido na mbwembwe zisizo kuwa na mantiki kabisa - yaani wasomaji wakilinganisha maelezo yako na kile kilicho andikwa na source ya information ni vitu viwili tofauti kabisa-taarifa zako ziko highly sensationalised sijui uwa unalenga ku-achieve nini?

Sasa tuje kwenye suala la political assassination - hivi una habari ni taifa lipi Duniani linaongoza kwa ku-assassinate marais wao walio chaguliwa na raia wao kidemokrasia, hapo hatuja gusia attempt zilizo wahi kufanywa kujaribu kuwauuwa ma Rais Gerard Ford, Reagan etc.

Hapa unazungumzia kwamba Putin atakuwa anaishi kwa wasi wasi mkubwa - here again, your sensational traits comes shinning brighter than Chrismas tree!! Hivi hapa Duniani kuna Rais anaye ishi kwa wasi wasi mkubwa mpaka analindwa na wanajeshi,wapelekezi na electronic systems 24X7X365 kama rais wa Merikani, hakuna!! Sasa inakuwaje a land of free na yenye kujali sana demokrasia na uhuru wa kila mtu afanye apendalo at any time - lakini Taifa hilo hilo haliamni Rais wao kujichanganya na raia wake freely - leo hii wewe ndio unataka kuizuga Dunia kwamba Rais Putin anaishi kama digi digi, chuki zako binafsi zisikutoe ufahamu kabisa - umesahau kwamba watu wana akili timamu ya kujua kinacho endelea huko Ukraine - hivyo hawataki kusikiliza habari zilizo kolezwa chumvi na nyingine za kutunga mkifikiri kampein/propaganda zenu zitamsaidia Zelensky kushinda vita.

Zelensky hasijifanye kutuniana misuli na super power - akae chini akubali kushindwa ili wamalize tofauti zao na Putin kistaarabu, after all Waukraine na Warusi ni ndugu, wasikubali kuchonganishwa na mataifa ya magharibi yenye ajenda zao za siri kuhusu Taifa la Urusi, Ukraine inatumiwa tu na NATO specifically US ili kujaribu kufanikisha malengo yao ya siri dhidi ya Urusi.
 

Mbona unateseka kaka na kuandika liinsha lote hili? Putin amekoswa koswa kuuawa mara saba sasa ukihesabu na hii ya juzi, halafu huyu Putin mnayemuabudu nilikua sina issue naye, nilikua napenda sana uongozi wake, ila kwa huu udhulumaji amefanya kwa kuingilia ka-nchi jirani kwa mabomu na kusambaratisha nyumba za watu, nimemchukia na naomba liuawe life kabisa na maiti yake iliwe na wadudu na hao wadudu waliwe na ndege wa angani na hao ndege walengwe shabaha wauawe...yaani afe kifo kibovu sana yule mpumbavu.

Juzi kapiga bwawa la maji mabomu kusudi tu awatese watu....

Zelensky ni shujaa, mumeshindwa kumfanya lolote leo mumejawa na hasira tu.
 
Ili dunia iwe salama,basi urusi inatakiwa iwe strong zaidi. Otherwise mtaonewa sana hasa nyie wa shithole countries.
ili awe anavamia bila kuwashirikisha wakubwa wenzie ? Urusi kuwa superpower aichukui miaka 50 bila WW2 maana Urusi wanaamini kwenye mabav zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…