Putin anyong'onyea, apunguza makali kwenye hotuba yake

Unapomtaja na kumuongelea Putin kwanza ufahamu kwamba huyo ni dikteta aliyekubuhu, anapenda madaraka katika maisha yake yote, ni kiongozi muongo, ni kiongozi muoga, ni kiongozi ambaye kabla kuivamia Ukraine alipata ushawishi mkubwa toka kwa China na North Korea lakini kwa sababu ali-miscalculate ile vita sasa ndio yanamkuta yanayomkumkuta.

Aliaminisha dunia na kwa bahati mbaya sana dunia ikaamini kwamba Urusi ni superpower lakini kwa bahati mbaya sana vita ya Ukraine aliyoianzisha mwenyewe amejianika hadharan madhaifu yake na ndio mana maana sasa Magharibi wanatumia nafasi hii kummaliza Putin lakini kuiangusha Urusi kiuchumi na kila kitu.

Kumbuka Putini alikuwa anapasha moto silaha zake za nuclear kila mara kutia ndaro sijuwi atapiga ulaya mara wapi mara wapi lakini sasa ameamua yaishe, jeshi hana anakodi makundi halafu analidhalilisha jeshi lake kuwa chini amri za hayo makundi vita ndio kwanza mwaka., Urusi mashoga tele kama ilivyo huko kwenu Tz lakini hamsubutu kutangaza sasa it is good for nothing
 
Ana tabia za kujiingiza halafu ana kinusa
Mbaya zaidi kinatoka na chembechembe za mavi . Habari za uhakika nimezipata ana ule ugonjwa wa kusahau sahau dementia. Hajui kama Yuko vitani . Na hao wanajeshi wake ni matako kabisa , utaendaje kwenye vita ya kibabu , yeye hata akifa Leo Hana hasara miaka 70 age
 
Putin kiboko asingeleta hiyo Vita yake ya kipuuzi ningebaki kuamini kuwa yupo kwenye Taifa lenye nguvu Duniani ila kwa sasa hata Malawi hawezi kuichukua Tura mkubwa huyo kaidharirisha Nchi yake kwa tamaa za kijinga Urusi ya kupigwa mabomu kwenye ardhi yake wanajeshi mateka wanavadilishana kila kukicha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…