Putin asema hawana nia ya kufanya mashambulizi mazito Ukraine

Wambie Nato wamuingize Ukraine basi katika Nato kama wao wanaume.

Tulizeni pupa Mrusi atawamaliza Ukraine sababu kwanza kisha kata mawasiliano na front line ya Ukraine na inasemekana hata BBC wanakiri kuwa kimbunga kinakuja sababu front line wa Ukraine wanalalamika hawana rest mda wa miezi miwili wako hoi, na wanasema Russian yuko katika position ya kuji defended wao ndio wanatumia nguvu zaidi kwa hio wanawasi wasi Mrusi atawafanya chambo katika hizi week tatu zijazo.

Vita ni akili ndio sababu Mrusi anasema hana haja ya kukutana na Biden kisha jua vita anashinda

Dalili jamaa anaye wasaidia Ukraine kuwapa free mawasiliano anasema hana uwezo tena na kumbuka siku hizi hata rocket na technology za kijeshi zinatumia Internet Elon Musk hawezi tena kuwasaidia kaitupia Pentagon mzigo na Pentagon inakwepa hapo.
unahis NATO ni umoja wa mipasho ? wana taratibu zao na zinafuatwa , sio huyo Urusi Putin ni mungu mtu , waafrika kama mbuz warus elite wanakasoa ujinga wa Putin ila kima moja inasapot huu ugaid wa Putin
 
Apeleke jeshi kule donbas alichokipigia kura kukipeleka Urusi jamaa wanakirejesha kwa nguvu Kharson tayari miji 5 na zaidi imesharejea mahali pake, ukitoa ule wa Layman ambayo ulichukuliwa siku 2 tu baada kupiga kura
Mwisho wa hii game mrusi atamuweka kibaraka wake pale kiev, yule mfungwa wa kisiasa ambae ni hasimu mkubwa wa Zelensky Putin alimuomba yeye tu kwa wafungwa zaidi ya 200 aliowachukua kwenye mapambano.............jamaa bado anacheza kete zake, anapoteza maboya tu ila mwisho wa siku ataimega ukraine na pia ukraine itakayobaki atawekwa kibaraka wake ndo maana hana haja ya kuiharibu sana hio nchi asije kumpa mzigo mkubwa atakaeingia
 
unahis NATO ni umoja wa mipasho ? wana taratibu zao na zinafuatwa , sio huyo Urusi Putin ni mungu mtu , waafrika kama mbuz warus elite wanakasoa ujinga wa Putin ila kima moja inasapot huu ugaid wa Putin
Andaeni mapovu ya kutosha kazi ndo kwanza inaanza
 
Mwisho wa hii game mrusi atamuweka kibaraka wake pale kiev, yule mfungwa wa kisiasa ambae ni hasimu mkubwa wa Zelensky Putin alimuomba yeye tu kwa wafungwa zaidi ya 200 aliowachukua kwenye mapambano.............jamaa bado anacheza kete zake, anapoteza maboya tu ila mwisho wa siku ataimega ukraine na pia ukraine itakayobaki atawekwa kibaraka wake ndo maana hana haja ya kuiharibu sana hio nchi asije kumpa mzigo mkubwa atakaeingia
lengo la Putini lilikuwa hilo lakini alipojaribu kuingia kwa mavamba Kyiv mbona aliamua kugeuza na kurudi zake donbas, ndipo wanajeshi ya Russia walipouliwa kama kuku, urusi amefukuzwa kila mahali Ukrean sasa amebaki pembezoni huko nako anaachia.

Ukisikia Putini amepiga bomu ukrain jua limetokea black sea au russia moja kwa moja, vita ya ardhini mrusi imemcost na hatajaribu tena maisha yake yote., sasa watu wanamaliza kumtoa adui maeneo yaliyobaki huko donbas, tutazamie Zelensky kutawazwa rasmi kuwa rais wa Russia pia baada ya putin kuliwa kichwa ama kupelekwa mafichoni kule US au the Heague
 
Yetu macho.............Urusi sio zimbabwe
 
Back
Top Bottom