Wambie Nato wamuingize Ukraine basi katika Nato kama wao wanaume.
Tulizeni pupa Mrusi atawamaliza Ukraine sababu kwanza kisha kata mawasiliano na front line ya Ukraine na inasemekana hata BBC wanakiri kuwa kimbunga kinakuja sababu front line wa Ukraine wanalalamika hawana rest mda wa miezi miwili wako hoi, na wanasema Russian yuko katika position ya kuji defended wao ndio wanatumia nguvu zaidi kwa hio wanawasi wasi Mrusi atawafanya chambo katika hizi week tatu zijazo.
Vita ni akili ndio sababu Mrusi anasema hana haja ya kukutana na Biden kisha jua vita anashinda
Dalili jamaa anaye wasaidia Ukraine kuwapa free mawasiliano anasema hana uwezo tena na kumbuka siku hizi hata rocket na technology za kijeshi zinatumia Internet Elon Musk hawezi tena kuwasaidia kaitupia Pentagon mzigo na Pentagon inakwepa hapo.